Day: March 23, 2025

Ulizaliwa Unalia,  Usikubali Ufe Ukilia Pia.Ulizaliwa Unalia,  Usikubali Ufe Ukilia Pia.

Wakati unazaliwa ni wewe pekee ulikuwa unalia angali mama yako na watu wengine wakitabasamu na kucheka. Kuna kitu cha utofauti kinatakiwa kitokee wakati wa kufa. Wewe tu unatakiwa uwe unatabasamu kwenye jeneza angali watu wengine wakilia. Watu watatakiwa walie kwa sababu wewe ulikuwa mkombozi wao kwani kuna thamani kubwa uliyokuwa [...]