Month: April 2025

Hivi Ndivyo Alivyofundishwa Kupata Chochote Alichotaka..Hivi Ndivyo Alivyofundishwa Kupata Chochote Alichotaka..

Kijana mmoja alimfuata mzee wa hekima na kumuuliza afanye nini ili aweze kupata kile anachokitaka maishani mwake? Basi mzee wa hekima akamchukua kijana yule mpaka ufukweni kisha akaingia naye baharini kwa mtumbwi. Walipofika eneo ambalo aliona lina kina kirefu, akamdondoshea yule kijana kwenye maji….ndipo yule kijana alianza kutapatapa kuzama majini [...]