
Hutafika Popote Kama Hutatumia Macho Haya Kuona.Hutafika Popote Kama Hutatumia Macho Haya Kuona.
[ ] Macho yako ya nyama huona karibu tu hapo. Ndiyo maana huna mtazamo wa mbali.[ ] Macho yako ya nyama hayaoni gizani. Ndiyo maana unazikimbia changamoto.[ ] Macho yako ya nyama yanaona sasa tu. Ndiyo maana huna malengo ya muda mrefu.[ ] Macho yako ya nyama yanaona eneo dogo [...]