Hutafika Popote Kama Hutatumia Macho Haya Kuona.


Categories :

[  ] Macho yako ya nyama huona karibu tu hapo. Ndiyo maana huna mtazamo wa mbali.
[  ] Macho yako ya nyama hayaoni gizani. Ndiyo maana unazikimbia changamoto.
[  ] Macho yako ya nyama yanaona sasa tu. Ndiyo maana huna malengo ya muda mrefu.
[  ] Macho yako ya nyama yanaona eneo dogo tu. Ndiyo maana huna ndoto kubwa.

“Wakati macho yako ya nyama yakiwa na uwezo wa kuona karibu tu hapo, lakini akili na moyo wako vina uwezo wa kuona mbali kusiko na ukomo kasoro tu ukomo utakao weka wewe”

Ni wakati sasa wa kuiruhusu akili na moyo wako kuona na kuumba picha kubwa unayotakiwa kuiweka kwenye uhalisia angali upo hapa duniani. 🧠🫀

Maono makubwa ya maisha yako yanatokana na kusudi la maisha yako. Ukitambua kusudi la maisha yako itakuwa rahisi kwako kujua wapi unatakiwa ufike(maono). 🤖

Kadhalika kusudi lako litaamsha uwezo wako wa kipekee wa kufanya miujiza ambayo ipo tu ndani yako.

Je ungependa utambue kusudi la maisha yako, utengeneze maono makubwa kisha kuuamsha uwezo wako wa kipekee na kufanya mambo makubwa yatakuwa alama hata ukifa?

Naamini jibu ni ndiyo. Basi bonyeza kiunganishi hapa chini kupata mwongozo wa kutambua kusudi la maisha yako,  kujenga maono makubwa maishani mwako lakini pia kuamsha uwezo wako halisi wa kufanya mambo makubwa;

https://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-item/86

Karibu sana.

Alfred Mwanyika
Scientist, Author &Trainer

AMSHA UWEZO
www.amshauwezo.co.tz
0752 206 899

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *