🔥🔥Huu Ndiyo Moto Pekee Wa Kuivisha Mafanikio Yako. 🔥🔥
Weka pilipili, weka chumvi, weka ndimu, weka chochote utakachotamani kukiweka kwenye nyama unayoitamani kula, kama hakutakuwa na mtoto wa kuivisha nyama hiyo, itakuwa shida kuwa na kitoweo.
Tamani mafaniko uwezavyo, panga upangavyo, hata kama usipolala kabaisa lakini kama hutaweka kazi basi tambua hakuna matokeo yoyote utakayopata kama hakutakuwa na wa kuyaivisha mafanikio hayo.
Moto pekee wa kuivisha ndimu,chumvi,na viungo vya mipango na matamanio ya matokeo ya malengo yako ni NIDHAMU.
Ndiyo ni NIDHAMU. Hii ni tabia ya kufanya kile ulichopanga kukifanya bila kuruhusu kitu chochote kikuzuie.
Jambo moja ambalo na uhakika nalo amabalo na wewe unaweza kuwa umeshuhudia ni kuwa vikwazo huja mara tu baada ya mipango.
Kwa mfano; baada ya kukusanya fedha unahitaka kuitumia kama mtaji kuanzishia biashara, ndipo shida kama ugonjwa hujitokeza. Baada ya kuanzisha biashara hata wale waliokuambia watakuwa wateja wako wa kwanza kununua wanaweza wasije.
Kadhalika baada ya alamu ya kukuamsha alfajiri kulia ili uianze siku yako kwa ushindi ndipo usingizi mzito na mzuri hukujia na kukushawishi kuendelea kulala.
Lakini pia umekuwa na shauku kubwa ya kuweka akiba kwenye kila kipato kabla hujapata fedha hiyo. Baada ya kupata fedha hiyo, umeiona ni ndogo sana na umekuwa ukiahirisha kuweka akiba hiyo, shida ni nini?
Umekuwa fundi mzuri wa kuweka malengo hata ya mwaka huu tayari umeshaweka malengo yako. Lakini hata kumbuka na mwakajana uliyaweka lakini, umeshasahau hata ulipanga nini? Mwaka 2022 umeisha huna chochote mkononi! Shida ni nini?
Umekosa moto wa kuivisha malengo na mipango yako. Moto wa nidhamu kali.
Kujenga NIDHAMU KALI si kitu rahisi. Hii ndiyo sababu wengi hawana, na wanakosa mafanikio.
Ndugu yangu, mwaka 2023 ufanye uwe wa tofauti. AMSHA UWEZO imeandaa semina inayohusu KUJENGA NIDHAMU KALI YA KUKUWEZESHA KUTIMIZA YAKO ili kuivisha mafanikio yako.
Utajisikiaje kama mwaka huu 2023 utajenga tabia hii muhimu ya kuwa na NIDHAMU KALI na kukuwezesha kupata chochote unachopanga?
Zaidi ya nidhamu ya kukuwezesha kufanyia kazi malengo yako ya mwaka 2023 pia kwa kushiriki utachagua lengo/jambo moja ambalo utahamasishwa kulifanya kila siku kwa mwaka mzima bila kuacha.
[ ] Je ni kuamka mapema na kuianza siku kwa ushindi?
[ ] Je ni kusoma kila siku kisha kufanikiwa kumaliza kitabu kikubwa kila mwezi na hivyo vitabu 12 na kuona suluu nyingi za matatizo yako.
[ ] Je ni kuweka akiba hata ya sh 1000 kila siku kwa mwaka mzima?
[ ] Je nikufanya mazoezi kila siku na kuiamarish afya?
[ ] Je kuongeza mteja mmoja tu kila siku kwenye biashara yako na kukuza mauzo yako maradufu?
Utakuwa na chaguo moja kati ya mengi yatakayokuwepo.
Semina hii itafanyika kwa siku kumi kwa njia ya mtandao (Kundi maalumu la Wasap) kuanzia Tarehe 18 – 27 Januari, 2023.
Gharama ya kushiriki semina hii ni Tsh. 10,000(Elfu kumi tu) kwa siku zote kumi. Jambo ninalokuomba leo ili usiikose fursa hii ni kujiunga kwanza na kundi hili kabla nafasi hazijaa. Kujiunga bonyeza kiunganishi hiki na utajiunga moja kwa moja
https://chat.whatsapp.com/GiQlBQKR17vI2XsSXkj7TN
Lipia malipo ya semina hii kupitia MPESA 0752 206 899 (Alfred Mwanyika). Karibu sana.
Mwl. Alfred Mwanyika
www.amshauwezo.co.tz
0752 206 899