Hivi Ndivyo Unavyoweza Kukua Bila Kukoma


Categories :

Kama hakikui basia kinakufa. Hii ni siafa kubwa ya viumbe hai ikiwa ni pamoja na binadamu. Baada ya mtoto kuzaliwa, anatarajiwa atakua katika kimo,akili,uzito nk. Kama vitu hivyo vispokuwa vinatokea huashiria kuwa kutakuwa na tatizo sehemu.

Kumekuwa na changamoto kubwa ya watu kukua. Licha ya muda kupita na umri wao kukua lakini ukuuaji wa maisha yao yameendelea kubaki pale pale na mara nyingine kupungua. Kwa sababu ya ukuaji wao kukoma imekuwa ngumu sana kwa watu kufikia utajiri katika maeneno mbalimbali ya maisha yao.

Licha ya ukuaji ambao watu hutamani utokee kwao, lakini huwa hautokei. Wengine hupata ukuuji lakini haudumu na mwishowe hata kufa.

Tatizo liko wapi? Watu hutamani kukua, kawa mfano hutamani biashara zako zikue, hutamani vipatovyao vikue lakini hata kama huwa  vinakua, basi ni kwa muda mfupi tu. Je nini huwa kinakosekana? Ukuaji wa nje wa kudumu huanzia nadni na ukuaji wandani usipokuwa wa kudumu basi tambua kuwa hata wa ndani hautakuwepo.

Ukuuaji wa ndani husabisha na kujifunza kusikokuwa na kikomo. Huweza kukua zaidi ya hapo kile unachokijua. Ili uweze kufanya zaidi unahitaji maarifa mapya zaidi, mtazamo mkubwa zaidi, hamasa zaidi, uvumilivu zaidi, kutoa thamani zaidi nk. Hivi vyote vinaanza kuongeneza kutokea ndani.

Unapojifunza zaidi kuhusu wateja, unapata nafasi ya kuwajua zaidi wateja na kuwa na uwezo zaidi wa kuwashawishi kisha kununua kuongeza mauzo zaidi. Unaposoma zaidi vitabu na kukutana changamoto walizopitia watu wengine na kisha kuzivuka inakuwa rahisi zaidi kwako kutatua changamoto zile zinazofanana na zile zinazokukumba wewe.

Warren Buffett aliwahi kusema “The best investment you can make is an investment in yourself. The more you learn, the more you’ll earn.” ikiwa inatafsiri kuwa uwekezaji bora kabisa ambao unaweza kuufanya ni juu yako. Kadri unavyojifunza zaidi ndiyo unavyoweza kuvuna ziadi.

Je unataka mwaka 2023 kuanza kuvuna zaidi? Basi jifunze zaidi kila siku. Kitabu cha DONDOO 366 ZA MAISHA YA MAFANIKIO ni mwongozo mzuri wa wewe kujifunza kila na kukua kila siku

Kuna dondoo 366 hivyo utasoma dondoo moja kila siku kwa mwaka mzima bila kurudia

Unaweza kusoma DONDOO hiyo na kuitafakari ndani ya dakika kumi. Hivyo hataka kama utasema huna muda mrefu wa kusoma, utafanikiwa kusoma

Utakapojituma kusoma kila siku itakujengea nidhamu ya kusom kila siku. Hii ni tabia/nidhamu nzuri ya kuijenga maishani mwako.

Kila dondoo in hatua ya kuchukua . Pata picha umesoma dondoo zote 366 na kuchua hatua zote 366 utapiga hatua kiasi gani? Hakikia utapiga hatua kubwa.
Kitabu cha DONDOO 366 ZA MAISHA YA MAFANIKIO kinaelezea nguzo 12 zinazojenga mafanikio yako ya kudumu maishani mwako. Kitabu hiki kimeelezea nguzo 12 za mafanikio ya kudumu kama uwezo na upekee, maono na malengo, nidhamu na kazi, ustahimilivu, hamasa. thamani na utajiri nk.

Jipatie kitabu hiki kwa bei ya promotion ya mwaka mpya. Lipia sh 15,000/ badala ya sh 20,000/. Wahi ofa hii leo. Mawasiliano: 0752 207 899.

Imeandikwa na Alfred Mwanyika,
Mwanasayansi, Mwl & Mwandishi(Uwezo Wako Halisi & Mafanikio),
Mawasiliano;
Simu; 0752206899/0714301952
Barua pepe: alfred@amshauwezo.co.tz
Tovuti: www.amshauwezo.co.tz

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *