Hii Itakuwa Siku Yenye Maumivu Makubwa Sana Kwako Usipofanya Hivi…..
Kuna maumivu uliyokwisha yapata maishani mwako, yalikuumiza sana na uliteseka sana. Lakini kuna maumivu makali zaidi utayapata maishani mwako kama utakuwa hujafanya hiki….
Maumivu hayo yatakuwa ni kutakuwa na muda, nafsi au uwezo tena wa kufanya vile ulivyopanga au fikiri kufanya hapo awali. Ipo siku itafika ambapo utatambua kuwa sasa huwezi kufanya tena kile ambavyo vilikuwa muhimu sana kuvifanya maishani mwako, lakini haiwezekani tena.
[ ] Inawezekana utashindwa kwa sababu huna muda tena, labda umeshaambiwa una muda mfupi sana wa kuishi hapa duniani.
[ ] Inawezekana ukashindwa kwa sababu huna nguvu tena za kufanya kitu hicho.
[ ] Inawezekana ukashindwa kwa sababu huna uzingativu tena kwa sababu ya akili yako kuchoka.
[ ] Inawezekana ukashindwa kwa sababu fursa hiyo haipo tena, imeyeyuka baada ya kuipuuza kwa muda mrefu.
Haya yatakuwa ni mazingira yenye maumivu makubwa kwako. Lakini habari njema ni kuwa bado una nafasi ya kuepeuka maumivu hayo sasa.
- Una mchango maalumu hapa duniani, hili ni kusudi lako. Anza kuiishi kile unachotamani ukifanya kabla hujafa.
- Una nguvu ya pekee ndani yako ya kufanya mambo makubwa. Boresha vitu unavyovifanya kwa ufanisi mkubwa sasa.
- Bado upo hai, una muda. Usiupoteze kwenye mambo yasiyo na tija maishani mwako. Tumia kutoa thamani kubwa kwa wengine.
- Bado akili yako ina nguvu. Itumie vizuri ikupe mawazo mazuri na makubwa. Itulize ikupe uzingativu mkubwa.
- Bado mwili wako una nguvu. Usiuonee huruma, ufanyishe kazi. Kazi na mfanikio ni mapacha.
Ndugu! Nina habari njema kwako, kitabu cha AMSHA UWEZO WAKO HALISI ni mwongozo kamili wa kukusaidia kuepuku maumivu makali ambayo ungeyapata mbeleni.
Kitabu hiki kinakusaidia kutambua upekee wako na nguvu kubwa uliyonayo ndani yako kisha kuweza kuitumia na kukusaidia kupata mafanikio makubwa. Hii itakufanya uridhike badala ya kuumia.
Kitabu hiki kinapatikana kama nakala ngumu (hard copy) lakini pia kwa mfumo wa sauti (Audio). Jipatie kitabu hiki leo kwa bei ya ofa sh. 10,000/. Wasiliana: 0752 206 899 au bonyeza hapa https://wa.me/message/Q6IVWM4M5LFTG1
Imeandikwa na Alfred Mwanyika,
Kocha na Mwalimu(Uwezo Wako Halisi & Mafanikio),
Mawasiliano;
Simu; 0752206899/0714301952
Barua pepe: alfred@amshauwezo.co.tz
Tovuti: www.amshauwezo.co.tz