Huwezi Kuamini Kama Umejisahau Kiasi Hiki!


Categories :

Je unaweza kuwa mwaminifu kujibu swali hili! Je tangu ulipoanza kufanya kazi na kupata kipato, ni kiasi gani cha fedha kimepita mikononi mwako?

Kama utakumbuka vizuri, kutakuwa na kiasi kikubwa sana fedha kimepita mikononi mwako. Je ni fedha kiasi kimebaki mikononi mwako?

Inawezekana ukijumulisha kipato ambacho umeshawahi kutengeneza ni sh milioni kumi au zaidi. Swali langu muhimu kwako ni kuwa ni kiasi gani cha fedha hiyo umebaki nacho?

Kama kuna fedha uliipata kisha ukaitumia yote, tambua kuwa, ulijisahau na kujionea pia. Hii ina maana imekuwa ukiwathamini wengine huku ukijisahau.

Kama ulinunulia nguo tambua kuwa ulimnufaisha mwenye nguo tu!
Kama ulinunua chakula, basi ulimunufaisha yule muuzaji tu!
Kama ulilipa ada, basi ulimpendelea mwenye shule tu!

Wewe unajua ulimunufaisha ni nani fedha zako

Ndugu! Njia pekee ya kujikumbuka, kujijali na kujipendelea kwenye fedha unazozipata ni kujilipa mwenyewe kwanza.

Kujilipa wewe kwanza ndiyo njia ya kufikia utajiri na uhuru wa kifedha?

Umekuwa na changamoto kwenye kipato chako kwa sababu kuna mambo yasiyosahihi unayoyafanya kuhusu fedha.

Ili kuokaka na changamoto hii ya fedha, unahitaji kugeuka na kuelekea njia sahihi. Huku ni kupiga U-TURN kwenye maisha yako.

Kwa kuwa tunakujali, AMSHAUWEZO Consultants tumekuandalia semina yenye kichwa PIGA U-TURN 101 ZA MAISHA YAKO. Hii ni semina inayokuwezesha kubadili mwelekeo wa hatua zisizosahihi unazochukua ili kupata mafanikio unayostahili.

Kwa kushiriki semina hii utatambua maeneo kumi ya maisha ambayo umepotea kisha kugeukia uelekeo sahihi na kuanza kupata matokeo ya utofauti kabisa.
Maeneo hayo ni ;

  1. Binafsi,
  2. Fedha/Utajiri
  3. Nidhamu
  4. Mahusiano/Jamii
  5. Kazi
  6. Uwekezaji
  7. Biashara
  8. Fikra
  9. Afya

Mpaka mwisho wa semina utakuwa umejifunza U- TURNS 101 kwenye maeneo tofauti ya maisha. Pata picha umegeuka mara 101 na kuelekea upande sahihi, hakika utaboresha maisha yako sana.

Semina hii itafanyika kwa njia ya kundi maalumu la wasap kuanzia Julai 20 – 29,2023.

Ada ya semina hii ni sh 10,000/ ambayo unalipia kupitia mpesa 0752 206 899(Alfred Mwanyika).

Utajisikiaje ndugu kwa sh 10,000/ tu unapata mambo 101 ya kuboresha maisha yako kwenye maeneo 10 muhimu? Naamini unajisikia vizuri na kupendelewa.

Zimebaki siku 3 tu!

Ili kujihakikishia nafasi ya kushiriki semina hii, jiunge leo kwenye kundi hili la wasap kwa kubonyeza kiunganishi hiki https://chat.whatsapp.com/Lmel6ehEr30K5a1S1BCEYu

Karibu sana.

Kwa maelezo wasilana

Mwl. Alfred Mwanyika
0752 206 899
www.amshauwezo.co.tz

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *