Huyu Ndiye Mganga Namba Moja Anayeweza Kutuliza Fedha Zako Zisipeperuke .
Je umekuwa ukitoa jasho jingi, unapata fedha lakini baada ya muda mfupi huzioni?
Je ukipata fedha akili yako haitulii mpaka pale utakapokuwa umemaliza kuzitumia?
Je unafanya biashara lakini licha ya mauzo makubwa unayopata lakini huioni faidi yoyote?
Je umekuwa ukiweka fedha kwenye kibubu, lakini licha ya kubomoa vibubu vingi…lakini huna fedha yoyote?
Kama haya yanakukuta basi tambua kuwa kuna chumaulete wa fedha zako na ni vema leo ukamfahamu.
Nasikitika kukuambia kuwa chumaulete namba moja wa fedha zako ni wewe mwenyewe, ndiyo wewe mwenyewe!
Na bahati mbaya ni kuwa chumaulete huyu ataendelea kupeperusha fedha zako mpaka pale utakapompata mganga wa kumumaliza chumaulete huyu.
Habari njema ni kuwa mganga wa kumtuliza chumaulete huyu yupo na anaitwa NIDHAMU KALI YA FEDHA.
Pata picha umefanikiwa kujenga nidhamu kali ambayo inakuwezesha kupata kipato zaidi, kuthibiti matumizi yasiyo ya lazima, kuwekeza kisha fedha kuanza kukuzalishia fedha nyingine bila ya wewe kufanya kazi……naamini itakuwa hatua nzuri sana maishani mwako.
Basi ili kufikia hatua hii hakikisha umeshiriki semina kuhusu SAFARI KUELEKEA UHURU WA KIFEDHA pamoja na masomo mengine mzuri utakayojifunza, KUJENGA NIDHAMU KALI YA FEDHA litakuwa miongoni.
Semina hii itafanyika kwa siku 10 kwa njia ya kundi maalumu la wasap kuanzia tar 18.03.2024 mpaka 27.03.2024.
Hiki ni kitu unachohitaji sana maishani mwako. Fursa na wakati vimefika, ni sasa. Ada ya semina hii ni sh. 10,000/ yaani sh 1,000/ tu kwa siku. Hii ni bahati kwako. Fanya malipo yako kwa mpesa: 0752 206 899(Alfred Mwanyika).
Ili kujihakikishia nafasi chache zilizopo jiunge sasa kwa kubonyeza kiunganishi hiki https://chat.whatsapp.com/Lmel6ehEr30K5a1S1BCEYu
Usipange kukosa. Kwa maelezo zaidi usisite kuwasiliana na;
Mwl. Alfred Mwanyika,
CEO: AMSHAUWEZO Consultants,
Simu: 0752 206 899: Email: alfredgeofrey@gamail.com
www.amshauwezo.co.tz
Karibu sana.