Jifunze Kwa Tai Ufanikiwe Sana.
TABIA 4/7;
Tai akiona mawimbi ya mvua hujisukuma kupanda juu zaidi.
[ ] Hutumia upepo kumsukuma juu zaidi
[ ] Huona akijisukuma na kuwa juu zaidi ya mawingu na upepo; hatasumbuka tena.
[ ] Akiwa juu ya mawingu ya mvua hujiachia na kuwa huru wakati ndege wengine waliopo chini wakipata shida.
[ ] Hakuna mipango mikubwa ya mafanikio ambayo haitakuwa na changamoto.
[ ] Jisukume kuwa juu ya changamoto ili isikushushe chini.
[ ] Kua kwa kuwa na mtazamo chanya zaidi juu ya changamoto hiyo.
[ ] Jifunze kwa kina juu ya kile unachojifunza.
[ ] Ukijaribu ukashindwa, nenda jipange ili urudi tena ukiwa bora zaidi.
‘Milima huwa haikui ila akili yako inaweza; kua zaidi ya changamoto yako”
Usikose Tabia ya 5/7 kesho.
Mwl. Alfred Mwanyika
AMSHA UWEZO
www.amshauwezo.co.tz