Umefikiri Vya Kutosha..Sasa Anza Kazi…
[ ] Maandalizi hayo yanatosha, sasa anza biashara yako hata kwa udogo huo.
[ ] Kipato hicho kinatosha sasa anza kuweka akiba na kuwekeza.
[ ] Umejiandaa kwa muda mrefu kuanza kuamka sasa anza kuamka hata dak. 30 kabla ya muda uliouzoea.
[ ] Umefikiri vya kutosha sasa anza kuiacha tabia hiyo inayokukwamisha..
Kuendelea kufikiri ni kupoteza furs….
Hakuna siku utasema umejiandaa vya kutosha kuanza kutimiza malengo….
Hatua ya kwanza ndiyo ngumu, jisukume kuianza ndipo utaanza kupata matokeo uliyoyasubiri kwa muda mrefu.
Hakikisha umekipata kitabu chako cha JENGA NIDHAMU KALI kikuongoze kuamsha nguvu ya kujisukuma ili uweze kutimiza malengo yako. Kukipata kitabu hiki leo kwa bei ya ofa, wasiliana nasi kupitia 0752 206 899.
Karibu sana.
Mwl. Alfred Mwanyika
AMSHA UWEZO
www.amshauwezo.co.tz