Uwekezaji si kwa ajili ya watu wenye fedha nyingi Tu! Hata wewe unaweza kuanza kuwekeza ukiwa na sh. 10,000!


Categories :

Je wewe ni miongoni mwa watu wanaodhani kuwa uwekezaji ni kwa ajili ya watu wenye fedha nyingi tu?

Je wewe ni miongoni mwa watu ambao fedha nyingi zimepita mikononi mwao, lakini hawajafanya uwekezaji wowote na hata hivyo zilishatoroka mikononi mwao?

Je wewe ni miongoni mwa watu ambao wamekuwa wakisubiri wawe na fedha nyingi ndipo waanze kuwekeza?

Unajidanganya, na utasubiri sana! Hata wewe unayejiona huna fedha za kutosha, una nafasi ya kuanza kuwekeza sasa.

Kuanza uwekezaji ni maarifa na tabia wala si wingi wa fedha(kianzio).

“Ikiwa hutapata njia ya kutengeneza pesa angali umelala, itakulazimu kufanya kazi hadi ufe”
Warren Buffett

Ndugu kuwekeza kwenye mali za karatasi(Hisa, vipande &hatifungani) ni moja ya sehemu ya kujihakikishia kufikia uhuru wa kifedha.

…kwani kuna siku itafika fedha hizo zitakuwa zinazalisha faida kubwa kiasi cha kumudu mahitaji yako bila ya wewe kufanya kazi.

Ili uweze kufikia uhuru huu, unahitaji muda na nidhamu ya uwekezaji.

Habari njema ni kuwa unaweza kuanza sasa hata kidogo ulichonacho.  Usijidangaje kuwa unahitaji mamilioni ili kuwa mwekezaji..

Hata kwenye kipato kidogo unachokipata sasa unaweza kutenga kiasi kidogo kisha kuanza kuwekeza.

Utajisikiaje kama utaanza uwekezaji ambao utakupa uhuru wa kifedha hata kwa sh 10,000/ uliyonayo?……

Naamini utajisikia vizuri……

Habari njema ni kitabu chako cha SAFARI KUELEKEA UHURU WA KIFEDHA kimeeleza hatua kwa hatua jinsi unavyoweza kuanza kuwekeza hata kwa udogo lakini kwa nidhamu kisha kufikia uhuru wa kifedha.

Si hivyo tu bali baada ya kupata kitabu  hiki utapata fursa ya kuingia kwenye programu ya “STAAFU UKIWA HURU” ambapo utaendelea kujifunza zaidi kuhusu fedha, utaongozwa namna ya kufungua akaunti na kuanza kuwekeza.

Lakini pia utasaidiwa namna ya wewe kuwekeza kwa msimamo kiasi cha kujenga tabia ya kuwekeza na kuwa sehemu ya maisha yako.

Kweli hii ni habari njema! Umeahirisha siku nyingi…leo isikupite tena.

Wasiliana nasi kupitia 0752 206 899 ili kujipatia kitabu chako na kuingia kwenye programu ya STAAFU UKIWA HURU. Nafasi za programu hii zimebaki chache sasa wahi sasa ubahatike…

Unastahili Zaidi Ya Unachokipata Sasa.

Karibu sana.

Alfred Mwanyika
Trainer,  Author and Entrepreneur
AMSHA UWEZO
www.amshauwezo.co.tz
0752 206 899.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *