Hukustahili Kuwa Hapo Ulipo,….Ondoka Hapo Sasa….

Je muda unaenda lakini wewe unaona umekwama sehemu?
Je licha ya kutoa jasho jingi ukifanya kazi lakini kipato bado kipo palepale?
Je uzee unakaribia lakini huoni dalili ya uhuru wa kifedha?
Je umezungukwa na watu lakini mahusiano yako na wao siyo mazuri?
Je wenzako wanaweka malengo makubwa na kuyafikia lakini wewe unapata shida kuyatimiza hata hayo madogo?
Shida imeanzia kwenye MTAZAMO wako. Ulichokiona na kukiamini ndicho ulichokipata.
Ukijiona siwezi ndiyo inavyokuwa.
Ukijiona ni wa kawaida ndiyo inavyokuwa.
Ukijiona wewe masikini ndivyo unavyokuwa.
Ukijiona wewe huna thamani kwa wale wanokuzunguka, ndiyo unavyokuwa.
Hivyo ili kupata matokeo ya utofauti lazima ubadili mtazamo wako kwanza. Huo ni mwanzo wa kuamsha uwezo wako mkubwa uliolala tu ndani yako.
Kujifunza zaidi kuhusu nguvu ya mtazamo na jinsi unavyoweza kuutumia kupata mafanikio makubwa unayostahili bonyeza hapa kujifunza zaidi; https://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-item/66/
Karibu sana.
Alfred Mwanyika
Scientist, Author &Trainer
AMSHA UWEZO
www.amshauwezo.co.tz
0752 206 899