Unahitaji Ngazi Ya Kupandia Kipato Cha Juu Zaidi.

Je umefikia hatua unajiona huwezi kupata fedha zaidi ya unazozipata sasa?
Je fedha nyingi zimepita mikononi mwako lakini na wewe mwenyewe unashangaa zilikoenda?
Je ukijitathmini kwa sasa unaona itakulazimu kuendelea kufanya kazi maisha yako yote ili kupata fedha za kuendesha maisha yako?
Je licha ya elimu nyingine uliyonayo, lakini bado michezo yote ya fedha inakupiga chenga?
Kama haya na mengine yanayofanana na hayo yanakukumba basi tambua kuwa unahitaji ngazi ya kuongeza kipato chako lakini pia kukitumia kama mbegu ya kukufikisha kwenye uhuru wa kifedha.
Ngazi hiyo ni maarifa juu ya fedha. Maarifa haya yapo kwenye kitabu cha AKILI YA FEDHA. Kupitia kitabu hiki utajenga akili 6 muhimu za kukuwezesha kufikia uhuru wako wa kifedha.
Habari njema ni kuwa unakipata kitabu hiki leo kwa bei ya ofa sh 3,000 tu. Lipia mpesa 0752 206 899(Alfred Mwanyika), utapokea kitabu chako ndani ya dak 3.
Au bonyeza hapa https://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-item/85/
Karibu sana.
Alfred Mwanyika
AMSHA UWEZO
www.amshauwezo.co.tz