Author: amshauwezo

Uwekezaji si kwa ajili ya watu wenye fedha nyingi Tu! Hata wewe unaweza kuanza kuwekeza ukiwa na sh. 10,000!Uwekezaji si kwa ajili ya watu wenye fedha nyingi Tu! Hata wewe unaweza kuanza kuwekeza ukiwa na sh. 10,000!

Je wewe ni miongoni mwa watu wanaodhani kuwa uwekezaji ni kwa ajili ya watu wenye fedha nyingi tu? Je wewe ni miongoni mwa watu ambao fedha nyingi zimepita mikononi mwao, lakini hawajafanya uwekezaji wowote na hata hivyo zilishatoroka mikononi mwao? Je wewe ni miongoni mwa watu ambao wamekuwa wakisubiri wawe [...]

Vichocheo Vitano(5) Vitakavyoifanya Biashara Yako IkueVichocheo Vitano(5) Vitakavyoifanya Biashara Yako Ikue

“Hali ni  mbaya; 96% ya biashara zote hushindwa ndani ya miaka 10, huku 80% zikishindwa ndani ya miaka miwili ya kwanza “Sabri Subi Hii si habari  njema juu ya biashara yako. Naamini umeshuhudia biashara nyingi zikianzishwa kisha kufa ndani ya muda mfupi tu….. Kile ambacho hakikui basi kinakufa. Hakikisha biashara [...]

Wakiijua Biashara Yako Ndipo Utauza SanaWakiijua Biashara Yako Ndipo Utauza Sana

Kama Mapafu Yanavyoingiza Hewa Kwenye Mwili Wako Ili Uendelee Kuwa Hai, Ndivyo Biashara Yako Inavyotakiwa Kuendelea Kuleta Wateja Ili Iendelee Kudumu; Anza kutumia njia hizo 10 kuwafikia wateja wako. Wateja wengine wa biashara yako wapo kwenye simu yako; kama huamini anza kumpigia watu, mtu mmoja baada ya mwingine waliopo kwenye [...]

Hapa Ndipo Utajiri Wako Ulipo…..Hapa Ndipo Utajiri Wako Ulipo…..

Moja ya kitu ambacho binadamu amekuwa akikitamani maishani mwake ni utajiri..yaani kuwa na utele kwenye kila eneo la maisha yake. Mahangaiko mengi ambayo umekuwa ukiyafanya ni kujaribu kuwa tajiri (huru) maishani mwako. Kwa sababu ni muda mrefu sasa huupati na wala huoni dalili za utajiri huo, umejiuliza mara kadhaa utajiri [...]

Ukifahamu Ukweli Huu Hutakuwa Mnyonge Tena…….Ukifahamu Ukweli Huu Hutakuwa Mnyonge Tena…….

Kama umekuwa ukijidharau kuwa wewe ni mtu wa kawaida basi ni kwa sababu ya uongo ulioziba ukweli kuhusu ukubwa wako. Kama umevuna kiduchu kwenye maisha yako na kuhisi umefika mwisho ni kwa sababu ya uongo ulioziba ukweli wa makubwa unayoweza kufanya. Kama umekuwa ukifikiri mafanikio makubwa ni kwa ajili ya [...]

F2: Je Wewe Ni MJINGA, wa WASTANI au MWEREVU?….F2: Je Wewe Ni MJINGA, wa WASTANI au MWEREVU?….

Pata fedha tujue tabia yako…..naamini utakuwa umeshasikia msemo huu mara kadhaa. Linapokuja suala la fedha watu hujitenga katika makundi matatu;1. Wapotezaji(WAJINGA)2. Watumiaji( WA KAWAIDA)3. Wawekezaji(WEREVU) Mtu akipata fedha huingia kwenye kundi moja wapo kati ya hayo….kwa hiyo ule msemo wa pata fedha tujue tabia yako tunaweza kuuboresha na kusema; “Pata [...]

F1: Je ungependa Uingize Fedha Angali Umelala?F1: Je ungependa Uingize Fedha Angali Umelala?

Huwezi kubeza umuhimu wa fedha katika maisha yako. Kama hutakubali kuwa fedha ni mambo yote, utakubaliana na mimi kuwa fedha ni mambo mengi. Karibu kila kitu unachohitaji maishani mwako utahitaji fedha. Hata hewa unayosema unavuta bure kuna mazingira ukiwa unaumwa utahitaji uilipie hewa hiyo. ……Fedha ni jawabu la mambo yote(Muhubiri [...]

Afadhali Kwenda Polepole Kuliko Hiki Unachokifanya……Afadhali Kwenda Polepole Kuliko Hiki Unachokifanya……

[  ] Licha ya kutambua ana mwendo wa polepole, kobe naye hupanga safari zake kisha kufika.[  ] Licha ya nyumba kutumia zaidi ya tofari elfu 10, fundi ujenzi hupanga tofari moja baada ya nyingine kisha nyumba kukamilika.[  ] Licha ya mbegu ya mbuyu kutambua kuwa itahitaji miaka mingi ili kuwa [...]

Je Unataka Kumpata WEWE HALISI?….Basi Vuka Mstari Huu….Je Unataka Kumpata WEWE HALISI?….Basi Vuka Mstari Huu….

[  ] Kama bado hujioni wewe ni wa pekee basi bado hujampata WEWE HALISI.[  ] Kama unawaza mambo madogo ukiamini kuna watu maalumu kwa ajili ya ndoto kubwa basi bado hujampata WEWE HALISI.[  ] Kama kuna kitu muhimu unaogopa kukifanya basi bado hujampata WEWE HALISI.[  ] Kama kila ukipanga kufanya [...]

Mambo Matano Ya Kuzingatia Ili Kupata Mafanikio Unayoyatamani…..Mambo Matano Ya Kuzingatia Ili Kupata Mafanikio Unayoyatamani…..

Je kuna vitu umekuwa ukivitamani kwa siku nyingi vitokee maishani mwako lakini huvioni vikitokea? Je umekuwa ukijiuliza nini ukifanye ili uanze kupata matokeo yatakayobadili maisha yako kisha kuleta furaha unayostahili? Kuna mambo matano ya kuzingatia ili kuweza kupata unachostahili maishani mwako? 1. Jua nini unakitaka.[  ] Wengi hawafahamu nini wanataka [...]