Author: amshauwezo

Ukimkaribisha Huyu….Umepata Vyote Maishani MwakoUkimkaribisha Huyu….Umepata Vyote Maishani Mwako

Mama mmoja alitoka nje muda wa mchana na kukuta wanaume watatu nje wenye ndevu ndefu. Alivyowaona, akahisi kuwa lazima wangekuwa na njaa kwa muda huo. Akaamua awakaribishe ndani ili aweze kuwapa chakula wale. Ndipo wakamuuliza kama mme wake alikuwa ndani. Mke akajibu kuwa mme wake hayupo, ameenda kazini. Wakamuambie kuwa [...]

Fumba Macho Yako Ukione Hiki……Utashangaa Sana!Fumba Macho Yako Ukione Hiki……Utashangaa Sana!

Je umewahi kujiuliza kwa nini watu hufumba macho wanapoomba? Je umewahi kujiuliza kwa nini watu hulia huku wakiwa wamefumba macho? Na kwa nini pia watu hucheka kwa furaha kubwa wakiwa wamefumba macho? Kama haitoshi kwa nini mtu huota ndoto akiwa usingizini akiwa amefumba macho? Kuna siri kubwa kwenye kufumba mambo. [...]

Hii Itakuwa Siku Yenye Maumivu Makubwa Sana Kwako Usipofanya Hivi…..Hii Itakuwa Siku Yenye Maumivu Makubwa Sana Kwako Usipofanya Hivi…..

Kuna maumivu uliyokwisha yapata maishani mwako, yalikuumiza sana na uliteseka sana. Lakini kuna maumivu makali zaidi utayapata maishani mwako kama utakuwa hujafanya hiki…. Maumivu hayo yatakuwa ni kutakuwa na muda, nafsi au uwezo tena wa kufanya vile ulivyopanga au fikiri kufanya hapo awali. Ipo siku itafika ambapo utatambua kuwa sasa [...]

0 Comment| 7:53 pm

Pale mtu anapolia machozi ni rahisi sana mtu mwingine kuyaona machozi hayo yakitiririka kutoka machoni kwenda mashavuni hata mpaka kwenye kidevu. Kama kuna mtu amekuwa akikusubiri upate shida afurahi ni rahisi sana kutambua kuwa muda wake umefika wa yeye kufurahi. Kadhalika kama kuna mtu alikuwa anakutegemea wewe kama shujaa wake, [...]

Usikubali Kutumbukia Kwenye Shimo Hili Kwa Hiari…..Usikubali Kutumbukia Kwenye Shimo Hili Kwa Hiari…..

Matamanio ya mafanikio na mafanikio yenyewe havipo pamoja. Kuna safari ya kuiendea ili kuweza kuyafikia mafanikio hayo. Lakini watu wengi wamekuwa hawaifiki safari hiyo kwa sababu ya kuishia njiani. Katika ya matamanio hayo na mafanikio hayo kuna mashimo mengi ambapo mtu hutakiwa kuyakwepa ili kuweza kuyafikia mafanikio makubwa maishani mwake. [...]

Haya Ni Mambo Sita Ya Kukomaza Akili Yako .Haya Ni Mambo Sita Ya Kukomaza Akili Yako .

Akili ni mwanzo wa mafanikio yako. Ili uweze kukuza mafanikio yako huna budi kuanza kwa kukuza akili yako kwani huko ndiko mawazo yenye thamani kubwa yanakotokea. Zifuatazo nia njia unazoweza kutumia ili kukuza akilia yako; Kuna jinsi upo na unahisi umeshindwa kwa sababu kuna vitu huna. Usikae sana kujilaumu na [...]