Author: amshauwezo

Siku Utakapoanza Kujiuliza Swali Hili, Maisha Yako Yatabadilika Sana.Siku Utakapoanza Kujiuliza Swali Hili, Maisha Yako Yatabadilika Sana.

Kuna majibu ya ajabu aliyapata mtafiti huyu ambayo na wewe unaweza kushangaa na kujifunza pia. Mtafiti huyo aliamua kuwafanyia utafiti nyani. Aliwakusanya nyani kumi kisha kutengeneza kizimba. Ndani ya kizimba hicho aliweka ngazi katikati kisha kuning’iniza chana la ndizi juu kidogo ya ngazi hiyo. Mtafiti huyo aliwaingiza nyani watano kwenye [...]

Huwezi Kukua Zaidi Ya Hapo Mpaka Umefanya Hiki.Huwezi Kukua Zaidi Ya Hapo Mpaka Umefanya Hiki.

Kukua na kufikia mafanikio makubwa limekuwa tamanaio la watu wengi. Lakini wapo waliosubiri ngazi ya mafanikio hayo kwa muda mrefu sasa bila mafanikio. Lakini wapo pia walioondoka hapa duniani yaani kufa bila ya kufikia ngazi waliyotamani au waliyostahili [ ] Kuna kiasi fulani cha kipato ungetamani uwe nacho ili kikupe [...]

Jinsi Ya Kujenga Siku Yenye Shauku Na Mafanikio Makubwa.Jinsi Ya Kujenga Siku Yenye Shauku Na Mafanikio Makubwa.

Kuna siku ulitamani usiku uishe mapema ili uamke. Kuna siku ulikuwa usingizini lakini ulikuwa unaiona asubuhi ungali bado umelala. Hii ni siku uliyoamka hata kabla ya alamu haijalia. Je unaukumbuka usiku huo? Huu ulikiwa ni usiku ambao ulikuwa unausubiri uishe ili ukutane na jambo kubwa na zuri. Je ilikuwa ndiyo [...]

Ona Ulivyoshiriki Kumuua Huyu Babu!Ona Ulivyoshiriki Kumuua Huyu Babu!

Kuna tajiri mmoja alitoka nje ya nyumba yake nyakati za usiku na kumkuta babu akiwa amekaa nje ya nyumba yake. Kwa sababu ya baridi kali ya siku hiyo babu huyo alikuwa amejikunyata huku akitetemeka. Ndipo yule tajiri akamuuliza kwa nini alikuwa hajavaa koti zito au kujifunika blankenti zito ili kujikinga [...]

Anza Na Hizi ANZA Kumi (10) Ushuhudie Mabadiliko Makubwa Maishani Mwako.Anza Na Hizi ANZA Kumi (10) Ushuhudie Mabadiliko Makubwa Maishani Mwako.

Kuna laana kubwa ambayo imewakumba watu wengi. Hii ndiyo ilyowakwamisha watu wengi. Inawezekana umebaki ulipo bila ya kufika ulipotakiwa kufika kwa sababu ya laana hiyo. Laana hiyo ni kuto KAUANZA. Kuna matokeo unayoyataka, hujayapata au umepata kiasi kidogo kuliko kwa sababu ya kuto kuanza. Kuanza kuna ukinzani mkubwa kuliko hatua [...]