Author: amshauwezo

F1: Je ungependa Uingize Fedha Angali Umelala?F1: Je ungependa Uingize Fedha Angali Umelala?

Huwezi kubeza umuhimu wa fedha katika maisha yako. Kama hutakubali kuwa fedha ni mambo yote, utakubaliana na mimi kuwa fedha ni mambo mengi. Karibu kila kitu unachohitaji maishani mwako utahitaji fedha. Hata hewa unayosema unavuta bure kuna mazingira ukiwa unaumwa utahitaji uilipie hewa hiyo. ……Fedha ni jawabu la mambo yote(Muhubiri [...]

Afadhali Kwenda Polepole Kuliko Hiki Unachokifanya……Afadhali Kwenda Polepole Kuliko Hiki Unachokifanya……

[  ] Licha ya kutambua ana mwendo wa polepole, kobe naye hupanga safari zake kisha kufika.[  ] Licha ya nyumba kutumia zaidi ya tofari elfu 10, fundi ujenzi hupanga tofari moja baada ya nyingine kisha nyumba kukamilika.[  ] Licha ya mbegu ya mbuyu kutambua kuwa itahitaji miaka mingi ili kuwa [...]

Je Unataka Kumpata WEWE HALISI?….Basi Vuka Mstari Huu….Je Unataka Kumpata WEWE HALISI?….Basi Vuka Mstari Huu….

[  ] Kama bado hujioni wewe ni wa pekee basi bado hujampata WEWE HALISI.[  ] Kama unawaza mambo madogo ukiamini kuna watu maalumu kwa ajili ya ndoto kubwa basi bado hujampata WEWE HALISI.[  ] Kama kuna kitu muhimu unaogopa kukifanya basi bado hujampata WEWE HALISI.[  ] Kama kila ukipanga kufanya [...]

Mambo Matano Ya Kuzingatia Ili Kupata Mafanikio Unayoyatamani…..Mambo Matano Ya Kuzingatia Ili Kupata Mafanikio Unayoyatamani…..

Je kuna vitu umekuwa ukivitamani kwa siku nyingi vitokee maishani mwako lakini huvioni vikitokea? Je umekuwa ukijiuliza nini ukifanye ili uanze kupata matokeo yatakayobadili maisha yako kisha kuleta furaha unayostahili? Kuna mambo matano ya kuzingatia ili kuweza kupata unachostahili maishani mwako? 1. Jua nini unakitaka.[  ] Wengi hawafahamu nini wanataka [...]

Jisukume Uanze…Jisukume Uanze…

Hujapata unachostahili kwa sababu hujaanza kukifanya.. [  ] Hatua ya kwanza ni ngumu ndiyo maana umekuwa ukiahirisha..[  ] Hatua ya kwanza ni ngumu ndiyo maana unajidanganya bado hujawa tayari na unahitaji kujiandaa zaidi.[  ] Hatua ya kwanza ni ngumu ndiyo maana ulipoanza na matokeo yakachelewa ukakata tamaa.. Ili ufike safari [...]

Kama Unakithamini Kiandike!Kama Unakithamini Kiandike!

Kuna mawazo mengi ya thamani umeyapoteza kwa sababu hukuyaandika.. Umejaribu kujikumbusha…lakini hukumbuki…inakuuma….lakini ungeandika ungekumbuka kirahisi au ungeenda kufungua daftari/notebook yako kisha kujikumbusha. Usiishie kufikiri tu ..andika.[  ] Unapokiandika kitu unaiambia akili yako kuwa kitu hicho ni muhimu.[  ] Unapoandika kitu hicho kinakuwa wazi(clear) zaidi.[  ] Ukiandika utakumbuka.[  ] Ukiandika utatathimini.[  [...]

Husogei Kwa Sababu Umefujifungia Kwenye Uraibu Huu….Husogei Kwa Sababu Umefujifungia Kwenye Uraibu Huu….

Umesikia uraibu wa pombe, sigara au madawa ya kulevya kisha ukajipiga kifua kuwa wewe huko hupo. [  ] Lakini kuna uraibu mmoja ambao umeujenga na ndiyo uliokukwamisha usipige hatua kwenye maisha yako. [  ] Huo ndiyi uliokufanya uendelee kufanya mambo ya kawaida ambayo yamekufanya kuwa mtu wa kawaida tu. [  [...]

Umefikiri Vya Kutosha..Sasa Anza Kazi…Umefikiri Vya Kutosha..Sasa Anza Kazi…

[  ] Maandalizi hayo yanatosha, sasa anza biashara yako hata kwa udogo huo.[  ] Kipato hicho kinatosha sasa anza kuweka akiba na kuwekeza.[  ] Umejiandaa kwa muda mrefu kuanza kuamka sasa anza kuamka hata dak. 30 kabla ya muda uliouzoea.[  ] Umefikiri vya kutosha sasa anza kuiacha tabia hiyo inayokukwamisha.. [...]

Ndipo Kikombe Cha Mafanikio Yako Kitakapofurika …..Ndipo Kikombe Cha Mafanikio Yako Kitakapofurika …..

[  ] Je umekuwa unajiuliza unawezaje kujenga mafanikio makubwa maishani mwako? [  ] Basi jibu ni kuwa mafanikio hayo yapo kwenye jitihada ndogo usizozichukua na matokeo madogo unayoyadharau. [  ] Kuwa na ndoto kubwa lakini pia hatua za kuchukua kila siku hata kama ndogo. [  ] Unataka kuingiza kipato cha [...]