Author: amshauwezo
Fahamu Leo Yalikojificha Mafanikio Yako Ya Kweli.Fahamu Leo Yalikojificha Mafanikio Yako Ya Kweli.
Mafanikio umekuwa wimbo wa watu wengi hapa duniani. Kila mtu anatamani afikie mafanikio makubwa ambayo yangempa ridhiko. Lakini kwa bahati mbaya ua nzuri mafanikio yenyewe yamejificha. Hii inathibitishwa kwa watu wengi kuendelea kutafuta mafanikio hayo kwa nguvu na muda mrefu bila kuyapata. Watu wameishia kukata tamaa wakiamini kuwa waliofanikiwa wana [...]
Unayaumiza Macho Yako Bure! Tumia Akili Kuona Gizani.Unayaumiza Macho Yako Bure! Tumia Akili Kuona Gizani.
Mtu ambaye ameshapita barabara fulani mara nyingi bila kupotea, ana uwezo wa kurudi nyumbani hata usiku wa manane kukiwa na giza nene bila ya kupotea. Dereva ambaye ameshaendesha gari kwenye barabara fulani, si rahisi kupata ajari au kuingiza gari kwenye makorongo ya barabara hiyo kwani anakuwa anaifahamu barabara hiyo vizuri [...]
Huwezi Kung’aa Kwa Kupaka Mafuta Taswira Yako Unayoina Mbele Ya Kioo.Huwezi Kung’aa Kwa Kupaka Mafuta Taswira Yako Unayoina Mbele Ya Kioo.
Ukisimama mbele ya kioo cha kujitazamia utajioni jinsi ulivyo. Hata chochote utakacho kuwa unafanya wewe, taswira yako pia itakuwa inakifanya. Ukitabasamu na taswira yako itatabasamu, ukinuna kadhalika taswira yako itanuna. Kwa hiyo chochote utakachokuwa unafanya wewe na taswira yako itaitikia. Lakini kitu cha ajabu ni kuwa ni taswira itakayokuwa inakuitikia [...]
Ngazi Tayari Unayo, Kwa Nini Hupandi Juu?Ngazi Tayari Unayo, Kwa Nini Hupandi Juu?
Kama upo sehemu na unataka kupanda sehemu ya juu zaidi, unaweza kutumia kifaa kama ngazi kupanda huko. Urefu wa ngazi ndiyo unaweza kuamua wapi ufike. Kama ukimuona mtu yupo chini na analalamika kuwa anashindwa kupanda juu wakati ngazi ipo pembeni yake, ungemshangaa sana. Yamkini na wewe ungemlaumu sana na kumuambia [...]
Ulichonacho Sasa Ndicho Kinachokuzuia Kupata Unachostahili.Ulichonacho Sasa Ndicho Kinachokuzuia Kupata Unachostahili.
Kuna mafanikio fulani ambayo umeshayapata mpaka sasa. Unastahili kujipongeza au kupongezwa kwa ajili ya hayo. Lakini ukilinganisha kile ulichokipata na kile ulichostahili, kuna safari ndefu unayotakiwa kupiga. Kuna mazingira ambayo mafanikio ya sasa au vitu vingine ulivyonavyo vimekuwa vikwazo kupata ulichostahili. Umekuwa ukitafuta aliyesababisha kutoyafikia mafanikio yako makubwa uliyostahili, lakini [...]