Author: amshauwezo

SEMINA! SEMINA!   ISHI MWAKA 2022 KWA MAFANIKIO MAKUBWA.SEMINA! SEMINA!   ISHI MWAKA 2022 KWA MAFANIKIO MAKUBWA.

MADA:   JINSI YA KUAMSHA UWEZO WAKO ILI KUTIMIZA KIKAMILIFU  MALENGO YAKO Je umekuwa ukianza mwaka kwa shangwe na hamasa kubwa lakini unaumaliza kwa unyonge mkubwa? Dawa imepatikana ya kuuishi mwaka huu kwa mafanikio makubwa. Mtandao wa Amsha Uwezo umekuandalia semina itakayokuwezesha kuishi mwaka 2022 na miaka inayofuata kwa ushindi mkubwa. [...]

Tumia Siri Hii Kuamsha Uwezo Wako Na Kutimiza Malengo Yako.Tumia Siri Hii Kuamsha Uwezo Wako Na Kutimiza Malengo Yako.

Punje ya mhindi ikiwa tu juu ya ardhi si rahisi kuipa thamani inayostahili. Unaweza ukapita na kuikanyaga na ikapasuka. Pia ndege wanaweza wakapita na kuila na historia yake ikaishia hapo. Lakini kwa mkulima mwaminifu akiiona punje hiyo kamili huiona thamani kubwa sana ndani yake. Kwanza huiona punje hiyo kama mhindi [...]

Usiahirishe Mpaka Kesho Kama Hutamani Ufe Kabla Hujalifanya Jambo Hilo.Usiahirishe Mpaka Kesho Kama Hutamani Ufe Kabla Hujalifanya Jambo Hilo.

Maisha ya mwanadamu ni muda. Ukishakufa muda wako wa maisha unasishia hapo. Mwanadamu upo hapa duniani kwa muda maalumu kukamilisha kazi maalumu. Ni kipindi cha uhai wako tu ndipo unaweza kutengeneza thamani yako hapa duniani ambayo itaendelea kukumbukwa hata baada ya kufa kwako. Muda wa maisha yako umegawanyika sehemu tatu, [...]

Wewe Ndiye Unayeweka Mipaka Kwenye Kiwango Cha Mafanikio Unachotaka.Wewe Ndiye Unayeweka Mipaka Kwenye Kiwango Cha Mafanikio Unachotaka.

Ukiiangalia bahari huwezi kuuona mwisho wake. Ukiwa umesimama sehemu ambayo haina vizuizi unaweza kudhani kuwa mwisho wa dunia upo pale lakini kadri unavyosogea ndivyo unavyoona mwisho huo unazidi kusogea pia na kutoweza kuufikia. Kumbe kuna vitu duniani ambavyo si rahisi kuufikia mwisho wake. Muonekano wa vitu hivyo ndivyo ulivyo kwenye [...]

Jinsi Usivyoweza Kutengenisha Mafanikio Na Maarifa.Jinsi Usivyoweza Kutengenisha Mafanikio Na Maarifa.

Mafanikio na maarifa tungeweza kusema ni kurwa na doto, yaani mama yao ni mmoja. Hivi ni vitu viwili usivyoweza kutenganisha. Mafanikio imekuwa hamu ya watu wengi, lakini wale ambao wamejaribu kuyaacha maarifa nyuma, wameshindwa kupata kile walichokitamani. Kwa kuyatenga mafanikio, wengi wamashindwa kuishi maisha wanayostahili. Hata mafanikio hayo ambayo  mtu [...]

Kwa Nini Umejitahidi Kuwa ‘Busy’ Sana Lakini Bado Unapata Kiduchu?Kwa Nini Umejitahidi Kuwa ‘Busy’ Sana Lakini Bado Unapata Kiduchu?

Ukiamka asubuhi na kuenda mitaani utakutana na watu wengi sana wakitoka nyumbani kwao na kwenda kazini. Baada ya jua kuchwa kadhalika utakutana na watu wakiwa njiani pia wakirudi kwenye makazi yao, huku wakiwa wamechoka kuashiria wametumia nguvu kubwa kufanya kazi. Hiki ni kiashiria tosha kuwa watu wapo ‘busy’ wakifanya kazi. [...]