Author: amshauwezo

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kupiga Hatua Kubwa Kwa Kuweka Tu Tarehe Ya Mwisho; “Deadline”.Hivi Ndivyo Unavyoweza Kupiga Hatua Kubwa Kwa Kuweka Tu Tarehe Ya Mwisho; “Deadline”.
Wanamichezo wameshuhudiwa wakiwa na hamasa kubwa na kujiandaa kwa nguvu na umakini mkubwa zaidi siku chache kabla ya mashindano kuliko mwanzo hata kama walikuwa wanafahamu ratiba hiyo kwa muda mrefu. Wanafunzi wameshuhudiwa wakiwa na umakini zaidi, kutumia muda mwingi zaidi wa kujiandaa siku chache kabla ya mtihani hata kama ratiba [...]

Hii Ni Siri Ya Kupata Chochote Unachotaka Unayoweza Kujifunza Kwa Mtu Aliyekuwa Anakaribia Kufa Maji.Hii Ni Siri Ya Kupata Chochote Unachotaka Unayoweza Kujifunza Kwa Mtu Aliyekuwa Anakaribia Kufa Maji.
Kuna mtu mmoja alienda kuogelea ufukweni kama watu wengi wanavyoweza kwenda na kufanya hivyo. Alianza kwa kuogelea kwenye kina kifupi lakini kadri utamu wa maji ulivyozidi kuongezeka ndivyo alivyozidi kusogea kwenye kina kirefu bila kujua. Akiwa kwenye kina kirefu hali ya bahari ikachafuka na kuanza kukosa uwezo wa kuogelea vyema. [...]

Wewe Ndiwe “Boss” Wa Hisia Zako! Kataa Kunyanyaswa Na Hisia Hasi.Wewe Ndiwe “Boss” Wa Hisia Zako! Kataa Kunyanyaswa Na Hisia Hasi.
Mojawapo ya mahitaji makubwa ambayo mwanadamu huwa anatamani kuwa nayo ni mamlaka ya uthibiti wa hali mbalimbali. Huu ni uwezo wa kuwa juu ya hali yoyote ile, kuweza kuongoza kitu chochote na kikakutii. Mamlaka hii pia, binadamu huitafuta pia ili aweze kuwaongoza binadamu wenzake. Hii imekuwa sababu mojawapo ya watu [...]

Geuza Kushindwa Kuwa Maandalizi Ya KushindaGeuza Kushindwa Kuwa Maandalizi Ya Kushinda
Neno kushindwa limekuwa na tafsiri tofauti tofauti miongoni mwa watu. Ni neno ambalo limewazuia watu wengi kutochukua hatua, hata za kuanza. Pia limewazuia baadhi ya watu kutoendelea baada ya neno hili kutafsiriwa vibaya maishani mwao. Kwa watu waliolitafsiri vibaya neno hilo kushindwa limetengeneza ukuta mnene kati yao na mafanikio yao. [...]

Ni Wakati Sasa Wa Kutengeneza Toleo Jipya La Maisha Yako.Ni Wakati Sasa Wa Kutengeneza Toleo Jipya La Maisha Yako.
Ni asili ya binadamu kupenda vitu vipya au kufanya vitu vipya. Hii ndiyo siri waliyoing’amua watengeneza bidhaa kama vile nguo, magari au simu. Kila wakati wamekuwa wakitengeneza vitu vipya kwa matoleo tofauti ili kukata kiu ya wateja wao. Tumeshuhudia mtu akinunua nguo mpya si kwa sababu ya zamani imechakaa bali [...]