Author: amshauwezo

Muda Hautakuwa Na Subira Kwako Katika Mambo Haya Matano(5) Unayoyafanya.Muda Hautakuwa Na Subira Kwako Katika Mambo Haya Matano(5) Unayoyafanya.

Siku ulipozaliwa tu, ulipewa kibali cha kuishi hapa duniani. Sambamba na hilo, muda wako wa kuishi hapa duniani ulianza kupungua kwenye akaunti yako ya muda. Kila sekunde unapovuta na kuitoa pumzi, muda wako wa kuishi hapa duniani unazidi kupungua. Kila mtu amepewa muda maalumu wa kuishi hapa duniani ili aweze [...]

Akili Yako Inahitaji Mazoezi Kama Misuli Yako Ili Ifanye Mambo Makubwa ZaidiAkili Yako Inahitaji Mazoezi Kama Misuli Yako Ili Ifanye Mambo Makubwa Zaidi

Ili viungo na misuli yako iwe imara unahitaji kufanya mazoezi ya viungo. Mazoezi haya huhusisha kukimbia, kuruka, kunyanyua uzito nk. Wakati wa kufanya mazezi hayo mtu huhisi maumivu, kuashiria kuwa kitu unachokifanya ni nje ya mazoea ya mwili. Mazoezi hayo yakifanyika kwa uaminifu huwa na faida kubwa mwilini. Faida hizo [...]

Maana Unayoipa Misamiati Ya Maisha Ndiyo Inayokupa Matokeo Unayoyapata.Maana Unayoipa Misamiati Ya Maisha Ndiyo Inayokupa Matokeo Unayoyapata.

Mawasiliano binafsi au baina ya watu hujengwa na maneno ambayo yanaweza kuwa na maana tofauti. Maneno hayo huitwa misamiati. Misamiati hiyo inaweza ikawa na maana tofauti baina ya mtu na mtu. Watu wawili wanaweza wakatafsiri msamiati mmoja na wakatoka na maana mbili tofauti. Kwa sababu tafsiri za misamiati zinaamua vitendo [...]

Utafanikiwa Kuishi Maisha Yenye Mafanikio Makubwa Pale Utakapoanza Kutumia ‘User Manual’ Yako.Utafanikiwa Kuishi Maisha Yenye Mafanikio Makubwa Pale Utakapoanza Kutumia ‘User Manual’ Yako.

Kiwanda chochote baada ya kutengeneza kifaa chochote hasa vile vinavyotumia umeme hutengeneza mwongozo wa mtumiaji (user manual). Haya ni maelezo ya kina kuhusu kifaa hicho. Mwongozo wa mtumiaji huwa na vitu kama jina la kifaa, matumizi yake, namna ya kutumia, vifaa vingine vinavyoingiliana, shida unazoweza kukutana nazo na namna ya [...]

Boresha Vyanzo Hivi Sita(6) Ili Kuwa Na Maisha Bora ZaidiBoresha Vyanzo Hivi Sita(6) Ili Kuwa Na Maisha Bora Zaidi

Ubora wa mazao ya mimea hutegemea ubora wa ardhi ambako mimea hiyo imejishikisha. Ni kupitia udongo ambako mimea itapata mahitaji yote muhimu kama maji, virutubisho na sehemu ya kujishikisha ili iweze kustawi. Mahitaji haya ndiyo yanayohitajika ili mmea huo uweze kukua vizuri na kustawi na kuzaa matunda. Ubora wa mazao [...]