Author: amshauwezo

Haya Ndiyo Maajabu Usiyoyajua Yanayotokea Baada Ya Kuweka Na Kuanza Kuyatimiza Malengo Yako.Haya Ndiyo Maajabu Usiyoyajua Yanayotokea Baada Ya Kuweka Na Kuanza Kuyatimiza Malengo Yako.
Kuweka na kutimiza malengo imekuwa ni changamoto kwa watu wengi. Watu wengi wamekuwa wakiishi bila malengo. Hii inaweza kuwa sababu ya mazoea yaliyojengeka kwa sababu ya kuzaliwa na kukua bila kushuhudia wazazi au walezi wake wakiweka malengo. Wapo wanaoweka malengo lakini yanakuwa hayana ubora, yameishia kuwa ni matamanio tu na [...]

Geuza Sarafu Yako Kuuona Upande Mwingine Wa Maisha Yako.Geuza Sarafu Yako Kuuona Upande Mwingine Wa Maisha Yako.
Sarafu ina pande mbili, upande wa kichwa na upande wa mkia. Lakini mara nyingi huwa tunaweza kuuona upande mmoja tu kwa wakati. Ukiona unauona upande mmoja ujue upande mwingine umejificha. Kama upande unaoonekana kwa muda huo sio ule unaoutaka unaweza ukaigeuza sarafu yako kupata upande ule unaoutaka. Matokeo ya maisha [...]

Tengeneza Tabia Hizi Tano(5) Ili Kuanza Kutengeneza Mafanikio YakoTengeneza Tabia Hizi Tano(5) Ili Kuanza Kutengeneza Mafanikio Yako
Hakuna kitu chochote kinachoweza kutokea bila kuweka kazi. Unafanya kazi kwa kupanda gari la tabia. Kuna watu wamepanda gari hili na kufikia mafanikio makubwa. Lakini wapo waliopanda gari hili na kuishia njiani. Wapo waliopanda hili hawajaianza safari mpaka sasa. Kuishi maisha yako kwa mafanikio kunategemea tabia ulizozitengeneza na kuziishi. Je [...]

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuendesha Maisha Yako Hata Kwenye Wingu Zito.Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuendesha Maisha Yako Hata Kwenye Wingu Zito.
Rubani huweza kuiongoza ndege hata kwenye wingu zito, si kwa sababu ana uwezo wa kuona mbele, bali kwa sababu ana dira inayomuongoza wapi aielekeze ndege hiyo. Licha ya mawimbi mazito na giza kubwa ambalo linaweza kutanda asione mbele lakini huenda kwenye uelekeo sahihi kwa sababu ya dira inayomuongoza. Mtu ambaye [...]

Makosa Matano (5) Uliyoyafanya Kwa Kufikiri Dunia Ina UhabaMakosa Matano (5) Uliyoyafanya Kwa Kufikiri Dunia Ina Uhaba
Ukichoma msitu na kuteketeza chochote kilichopo, baada ya muda majani na miti itaota tena na kutengeneza msitu mwingine. Binadamu wamekuwa wakivua na kula samaki baharini kwa miaka mingi, lakini bahari haijawahi kuishiwa samaki. Binadamu wamekuwa wakivuta hewa kwa miaka mingi na idadi yao imekuwa ikiongezeka lakini hakuna hata siku moja [...]