Author: amshauwezo
Je Umekuwa Ukisubiri Muda Au Ukipoteza Muda?Je Umekuwa Ukisubiri Muda Au Ukipoteza Muda?
Kusubiri au kupoteza muda ni jambo ambalo limekuwa linafanywa na watu kwa kujua au kutokujua. Mara nyingine mtu amefikiria anasubiri wakati kumbe kiuhalisia anapoteza muda. Kusubiri muda ni pale unapongoja kupata mrejesho baada ya kuweka nguvu kwenye jambo fulani. Hii ni sawa na kutanguliza thamani huku ukitarajia majibu ya thamani [...]
Siku Ambayo Kobe Atamsusia Jirani Yake Nyumba Yake Ndiyo Utakuwa Mwisho Wa Uhai WakeSiku Ambayo Kobe Atamsusia Jirani Yake Nyumba Yake Ndiyo Utakuwa Mwisho Wa Uhai Wake
Kobe ni mnyama ambaye mgongo wake umefunikwa na magamba magumu ambayo siyo rahisi kuyavunja. Mgongo huo huonekana kama nyumba kwake kwani akihisi hatari yoyote ile hujikunja ndani huku akizamisha kichwa na miguu yake na gamba tu ndilo linabaki likionekana. Hivyo mgongo huo ni nyumba inayotembea kwani huwepo popote alipo. Kwa [...]
Vigezo Sita(6) Vya Kuzingatia Unapochagua Nini Ufanye Ili Upate Mafanikio Makubwa.Vigezo Sita(6) Vya Kuzingatia Unapochagua Nini Ufanye Ili Upate Mafanikio Makubwa.
Kila binadamu aliye hai huwa kuna kitu anachofanya kila wakati. Zama hizi kila mtu amekuwa ‘busy’ akifanya kitu. Kutopata mafanikio si kwa sababu ya watu kutofanya vitu bali kuna sababu nyingine ya msingi. Waliofanikiwa na wasiofanikiwa wote huondoka asubuhi wakiwa na nguvu na hurudi nyumbani jioni wakiwa wamechoka, hii ni [...]
Jenga Tabia Hii Ili Uweze Kufika Mwisho Wa Safari Ya Mafanikio Yako.Jenga Tabia Hii Ili Uweze Kufika Mwisho Wa Safari Ya Mafanikio Yako.
Licha ya safari ya kufikia mafanikio makubwa kuwa ndefu na yenye magumu mengi, lakini kuna watu ambao wameweza kupitia njia hizo na kufikia mafanikio makubwa sana. Lakini idadi kubwa ya watu hawajaianza safari au wameishia njiani au wapo njiani wakisuasua. Kulingana na idadi ya watu waliofanikiwa kuwa ndogo sana, imejengeka [...]
Timiza Malengo Yako Kwa Kuiishi Leo KikamilifuTimiza Malengo Yako Kwa Kuiishi Leo Kikamilifu
Huu ni mwanzo wa mwaka ambapo watu wengi wanakuwa wanaweka malengo ya kuuishi mwaka huu kwa mafanikio. Baada ya mwaka kumalizika, waliofanya vizuri na ambao hawakufanya vizuri wote wana hamu ya kuweka malengo kwa ajili ya mwaka mpya. Waliofanikiwa kwenye mwaka uliopita wana hamu ya kuweka malengo mengine ili mwaka [...]