Author: amshauwezo
Sababu Tano(5) Za Kwa Nini Mbegu Ya Uwezo Wako Haizalishi Msitu Wa MafanikioSababu Tano(5) Za Kwa Nini Mbegu Ya Uwezo Wako Haizalishi Msitu Wa Mafanikio
Mbegu yoyote ya mti inakuwa imebebea msitu ndani yake. Hii hutokea pale mbegu ile inapozikwa kwenye udongo, kuota na kisha kukua na kuwa mti mkubwa unaoweza kuzalisha mbegu nyingine. Mbegu za mti huo zikioteshwa zaitazalisha mbegu nyingine nyingi na hivyo baadaye kutengeneza msitu. Lakini mbegu hiyo haitafikia hatua ya kuwa [...]
Unataka Mafanikio Zaidi? Anza Kulipia Gharama Hizi Tano(5).Unataka Mafanikio Zaidi? Anza Kulipia Gharama Hizi Tano(5).
Ukienda dukani kununua bidhaa, uwingi wa bidhaa utakazozipata itategemea pia na kiasi cha gharamaambazo utakuwa upo tayari kuzilipa. Kadri utakavyolipia kiasi kikubwa ndivyo utakavyoweza kupata bidhaa nyingi. Kama utakuwa unataka bidhaa bora na za ghali, utatakiwa ulipie kiasi kikubwa zaidi ili uweze kupata bidhaa nyingi zaidi. Ni hamu ya kila [...]
Njia Tano(5) Za Kutoka Kwenye Uvuguvugu Na Kuwa Mtu Wa Moto.Njia Tano(5) Za Kutoka Kwenye Uvuguvugu Na Kuwa Mtu Wa Moto.
Naamini umekutana mara nyingi na maji ya vuguvugu. Licha ya kuwa na umotomoto kwa mbali, lakini maji hayo huwa yanakuwa hayana maajabu yoyote kwani hata ukiweka mkono wako kwa muda mrefu huwezi kuungua. Pia huwezi kutumia maji hayo kupashia au kuivishia chakula. Kadhalika huwa inakuwa ni suala la muda mfupi [...]
Usikubali Kuzuiwa Na Vikwazo Hivi Vinne (04) Kwenye Safari Yako Ya Mafanikio.Usikubali Kuzuiwa Na Vikwazo Hivi Vinne (04) Kwenye Safari Yako Ya Mafanikio.
Maji yanayopita juu ya ardhi huhangaika kutafuta njia ya kupita kila wakati. Ikitokea yamezuiwa kushoto yatahamia kulia. Yakizuiwa kushoto na kufanya yasimame, kuna mengine yatashuka ardhini wakati mengine yakipanda angani kama mvuke. Safari ya maji inafananishwa na safari yako ya mafanikio. Umeweka mipango mingi iliyo mizuri kwa ajili ya utekelezaji. [...]
Unataka maziwa! Mwaga kwanza chai ya rangi iliyopo kwenye kikombe chakoUnataka maziwa! Mwaga kwanza chai ya rangi iliyopo kwenye kikombe chako
Kama una kikombe ulichojaza chai ya rangi na ikatokea unataka maziwa, haiwezekani ukatumia kikombe hicho kunywea mziwa. Itakupasa kumwaga kwanza chai iliyopo kwenye kikombe hicho ili upate nafasi ya kumimina maziwa. Utaratibu huu umekuwa tofauti kwenye maisha ya watu kwani wametaka kuvinywa vyote kwa wakati mmoja kwa kutumia kikombe kilekile. [...]