Author: amshauwezo

Hangaika Na Kutoa Thamani, Mafanikio Yatakuja Yenyewe TuHangaika Na Kutoa Thamani, Mafanikio Yatakuja Yenyewe Tu

Nyuki huwa hahangaiki kujua kama maeneo ya jirani kuna mrina asali ndipo aanze kutengeneza asali, bali yeye muda wote yupo ‘busy’ kutafuta mali ghafi kwa ajili ya kutengeneza asali iliyo tamu sana. Lakini kwa kujua thamani ya asali hiyo, mrinaji huwatafuta nyuki na asali ilipo. Kadhalika ng’ombe huwa hasubiri mpaka [...]

Kwa Nini Umechoka Ungali Huna Matokeo?Kwa Nini Umechoka Ungali Huna Matokeo?

Mtoto mdogo huamka asubuhi akiwa hajui siku hiyo atafanya nini. Hivyo akiachiwa ataanza kugusa na kufanya chochote kitakachokuja mbele yake. Mpaka jioni inafika, mlezi akiulizwa mtoto amefanya nini leo, ni vigumu kueleza ni kitu gani hasa mtoto amefanya. Hii ni kwa sababu ya uwingi wa vitu ambavyo mtoto anavifanya tangu [...]

Kikuze hicho ulichonachoKikuze hicho ulichonacho

Kama umeisimama na ukanyoosha mkono wako, utagusa kimo fulani kifupi. Lakini ukiweka nguvu kwenye miguu na kuruka juu hata kama ni kidogo tu, mikono yako itagusa juu zaidi ya pale ulipokuwa umegusa hali ukiwa umesimama tu. Ukitafuta ngazi na kutumia kupanda, utafika mbali zaidi na kugusa juu zaidi ya pale [...]

Kwa nini uendelee kufanya licha ya kushindwa mara nyingi?Kwa nini uendelee kufanya licha ya kushindwa mara nyingi?

Licha ya kila mtu kutamani kuwa na mafanikio, lakini ni wachache sana wameweza kupata mafanikio makubwa katika maisha yao. Hii inaashiria kuwa safari ya mafanikio siyo rahisi, ina kupasa kuvuka mabonde na milima. Ina changamoto ambazo inabidi uzifanyie kazi ndipo uweze kufika mwisho wenye mafanikio. Wanaofanikiwa wana tabia ambazo zinawafanya [...]

Maswali yatakayokupeleka kwenye mafanikio makubwaMaswali yatakayokupeleka kwenye mafanikio makubwa

Licha ya mafanikio kuwa na maana tofauti kwa watu mbalimbali, lakini kila mtu ana tamaa ya kuwa na mafanikio makubwa. Kila mtu amekuwa akitamani vitu fulani vitokee katika maisha yake. Tamaa ya mafanikio hayo inaweza kuwa kupata mali,fedha, elimu au umaarufu fulani. Mafanaikio makubwa anayoyatamani mtu yanapatikana kwa kujiuliza maswali [...]

Tone La Mvua Lisilokoma Hujaza PipaTone La Mvua Lisilokoma Hujaza Pipa

Ni rahisi sana kulidharau tone la maji ya mvua kwa kuona si kitu. Kama kuna sehemu nyumba inavuja na tone moja linadondoka  kila wakati unaweza ukadharau ujazo huo na kuuamua kukinga kikombe tu. Lakini kama mvua itaendelea kunyesha bila kukoma, hata ukikinga pipa litajaa. Jambo kubwa litakaloamua pipa hilo kujaa, [...]

Wewe Ni Samaki, Usimwigilizie Ndege KurukaWewe Ni Samaki, Usimwigilizie Ndege Kuruka

Jambo moja ambalo lingemhakikishia samaki kushindwa maisha yake ni kutaka kuwa ndege. Kwa kutamani kuwa ndege, samaki angehangaika kutoka kwenye makazi yake ili aweze kuruka. Pia hata angefanikiwa kuruka, angefanikiwa kwa kiasi kidogo sana ukilinganisha na ndege. Kadhalika kitendo cha kuacha makazi yake, ingehatarisha maisha yake. Ukisikia samaki ameacha kuogelea [...]