Author: amshauwezo
Usikubali Kuzuiwa Na Vikwazo Hivi Vinne (04) Kwenye Safari Yako Ya Mafanikio.Usikubali Kuzuiwa Na Vikwazo Hivi Vinne (04) Kwenye Safari Yako Ya Mafanikio.
Maji yanayopita juu ya ardhi huhangaika kutafuta njia ya kupita kila wakati. Ikitokea yamezuiwa kushoto yatahamia kulia. Yakizuiwa kushoto na kufanya yasimame, kuna mengine yatashuka ardhini wakati mengine yakipanda angani kama mvuke. Safari ya maji inafananishwa na safari yako ya mafanikio. Umeweka mipango mingi iliyo mizuri kwa ajili ya utekelezaji. [...]
Unataka maziwa! Mwaga kwanza chai ya rangi iliyopo kwenye kikombe chakoUnataka maziwa! Mwaga kwanza chai ya rangi iliyopo kwenye kikombe chako
Kama una kikombe ulichojaza chai ya rangi na ikatokea unataka maziwa, haiwezekani ukatumia kikombe hicho kunywea mziwa. Itakupasa kumwaga kwanza chai iliyopo kwenye kikombe hicho ili upate nafasi ya kumimina maziwa. Utaratibu huu umekuwa tofauti kwenye maisha ya watu kwani wametaka kuvinywa vyote kwa wakati mmoja kwa kutumia kikombe kilekile. [...]
Ulizaliwa na zawadi, je umeshaipa dunia?Ulizaliwa na zawadi, je umeshaipa dunia?
Mbegu za matunda zikishamea zinakua na kuwa miti inayotoa matunda na hii inakuwa zawadi kwa dunia. Nyuki walikuja duniani walijua zawadi waliyoibeba wakaanza kutafuta inta za maua na kutengeneza asali ambayo inapendwa sana na watu kwa utamu wake. Kadhalika jua lilipogundua lililochobeba limekuwa likiwaka kila siku kuipa dunia nguvu na [...]
Bahari Haijawahi Kuishiwa Samaki Lakini Si Rahisi Kuwaona Samaki Hao JangwaniBahari Haijawahi Kuishiwa Samaki Lakini Si Rahisi Kuwaona Samaki Hao Jangwani
Wavuvi wamekuwa wakiwavua samaki miaka nenda rudi huku samaki hao wakiliwa na binadamu kila siku lakini hujawahi kusikia bahari hiyo imeishiwa samaki. Kuna wavuvi wameanza kuvua samaki hao tangu ujanani mpaka sasa ni wazee bila ya kuacha kazi hiyo kwani kila siku wanapata samaki. Kadhalika hata kama shamba litachomwa moto [...]
Hangaika Na Kutoa Thamani, Mafanikio Yatakuja Yenyewe TuHangaika Na Kutoa Thamani, Mafanikio Yatakuja Yenyewe Tu
Nyuki huwa hahangaiki kujua kama maeneo ya jirani kuna mrina asali ndipo aanze kutengeneza asali, bali yeye muda wote yupo ‘busy’ kutafuta mali ghafi kwa ajili ya kutengeneza asali iliyo tamu sana. Lakini kwa kujua thamani ya asali hiyo, mrinaji huwatafuta nyuki na asali ilipo. Kadhalika ng’ombe huwa hasubiri mpaka [...]