Category: FEDHA

Kuwa Na Vitu Hivi Viwili, Fedha Zitakufuata Ulipo.Kuwa Na Vitu Hivi Viwili, Fedha Zitakufuata Ulipo.

Je Unataka Fedha Zitiririke Kuja Kwako? Kama kuna kitu ambacho mtu anatamani akipate kwa wingi, basi ni fedha. Lakini kama kuna kitu ambacho watu wanakipata kwa uchache basi ni fedha. Fedha zimejificha wapi? Kwenye makala iliyopita tuliona kuwa hakuna fedha iliyoitoroka dunia na kwenda sayari nyingine.  Fedha zote zipo hapahapa [...]

Huko Ndiko Fedha Zako Zilikojificha!Huko Ndiko Fedha Zako Zilikojificha!

Rafiki! Kama umekuwa ukijiambia fedha ni ngumu, fedha adimu,  vyuma vimekaza, hii ni dalili kuwa fedha haikufikii kirahisi . Kuna muda umefikiri kuwa labda kuna fedha ambazo zimetorokea sayari nyingine ndiyo maana zimekuwa adimu kwako. Ukweli ni kuwa hakuna fedha iliyoiacha dunia, fedha zote zipo hapahapa duniani. Sehemu mojawapo fedha [...]

Uwekezaji Si Kwa Ajili Ya Watu Wenye Fedha Nyingi Tu! Hata wewe Unaweza Kuanza Kuwekeza Ukiwa na Sh. 10,000 Tu!Uwekezaji Si Kwa Ajili Ya Watu Wenye Fedha Nyingi Tu! Hata wewe Unaweza Kuanza Kuwekeza Ukiwa na Sh. 10,000 Tu!

Je wewe ni miongoni mwa watu wanaodhani kuwa uwekezaji ni kwa ajili ya watu wenye fedha nyingi tu? Je wewe ni miongoni mwa watu ambao fedha nyingi zimepita mikononi mwao, lakini hawajafanya uwekezaji wowote na hata hivyo zilishatoroka mikononi mwao? Je wewe ni miongoni mwa watu ambao wamekuwa wakisubiri wawe [...]

Jifunze Kwenye Mti Huu Wa Muujiza(Chinese Bamboo Tree). Hakika Utakuza Fedha Zako Kimiujiza.Jifunze Kwenye Mti Huu Wa Muujiza(Chinese Bamboo Tree). Hakika Utakuza Fedha Zako Kimiujiza.

Ukisikia dunia imejaa miujiza basi mti huu unaoitwa Chinese Bamboo Tree una miujiza yake. Habari njema ni kwamba ukijifunza kuhusu muujiza huu, kuna muujiza hukusu fedha zako utatokea maishani mwako na kukuweka huru kifedha. Mwanzi huu unaopatikana sana katika bara la Asia una muujiza mkubwa katika ukuuaji wake. Baada ya [...]

Huyu Ndiye Mganga Namba Moja Anayeweza Kutuliza Fedha Zako Zisipeperuke .Huyu Ndiye Mganga Namba Moja Anayeweza Kutuliza Fedha Zako Zisipeperuke .

Je umekuwa ukitoa jasho jingi, unapata fedha lakini baada ya muda mfupi huzioni? Je ukipata fedha akili yako haitulii mpaka pale utakapokuwa umemaliza kuzitumia? Je unafanya biashara lakini licha ya mauzo makubwa unayopata lakini huioni faidi yoyote? Je umekuwa ukiweka fedha kwenye kibubu, lakini licha ya kubomoa vibubu vingi…lakini huna [...]

Jitahidi Upate Akili Hii Ya Fedha Itakayoifanya Fedha Yako Ikue Kwa Maajabu Makubwa.Jitahidi Upate Akili Hii Ya Fedha Itakayoifanya Fedha Yako Ikue Kwa Maajabu Makubwa.

Kama ulikuwa unafikiri kuna maajabu saba tu ya dunia, basi utakuwa unajidanganya mwenyewe. Kuna ajabu jingine kati ya maajabu yale saba ya dunia unayoyafahamu.  Ajabu hilo linahusu fedha. Habari njema ni kuwa na wewe una uwezo wa kulitengeneza ajabu hilo. Hutafaidika kwa kujenga ajabu hilo tu bali utapata faida ya [...]

Usikubali Kuwa Mtumwa Maisha Yako Yote…Anza Kutengeneza Uhuru Wako Sasa..Usikubali Kuwa Mtumwa Maisha Yako Yote…Anza Kutengeneza Uhuru Wako Sasa..

Fedha ni vitu vingi na ndiyo maana unalala kwenye kitanda ulichonunua kwa fedha na unaamka unaenda kupiga mswaki kwa mswaki na dawa uliyonunua kwa fedha. Hii imekufanya muda mwingi wa maisha yako uwaze kuhusu fedha. Je kipato chako huwa kinatosheleza matumizi yako yote ya lazima? Je pale unapopata dharura inayohitaji [...]

Ni Kama Kitu Kidogo Vile Lakini Nidiyo Chanzo Cha Utajiri Maishani Mwako.Ni Kama Kitu Kidogo Vile Lakini Nidiyo Chanzo Cha Utajiri Maishani Mwako.

Ni kitu ambacho hujazoea lakini kifanye. Ni tabia ngumu lakini wewe ijenge. Ulitakiwa uanze miaka mingi nyuma lakini muda mwingine ni LEO. Matajiri wote unaowaona ndicho wanachofanya. Huhitaji uwe na fedha nyingi unaweza kuanza na kile ulichonacho. Si uwingi wa unachopata bali ni tabia. Kama sijawahi kukuambia basi leo siri [...]