Category: FIKRA

*Usipige Mbizi Sakafuni, Utaumia!**Usipige Mbizi Sakafuni, Utaumia!*

Ukimuona mtu kama anaogelea sakafuni ambako hakuna maji yoyote utamshangaa sana. Ni rahisi sana kumfikiria kuwa atakuwa amechanganyikiwa. Imezoeleka kuwa watu huogelea majini, ndiyo maana itakuwa ni ajabu sana kumkuta mtu anaonekana kuogelea angali hayupo kwenye maji. Lakini nasikitika kukuambia kuwa hiki ni kitu ambacho umekuwa ukikifanya maishani mwako. Kuogelea [...]

Je Unataka Kubadili Maisha Yako! Anzia Hapa.Je Unataka Kubadili Maisha Yako! Anzia Hapa.

Je unaridhika na maisha unayoishi sasa? Kama jibu ni hapana, ina maana hayo siyo maisha unayostahili, hivyo unahitaji kubadili maisha hayo. Wapi kwa kuanzia kubadili maisha yako, imekuwa changamoto kwa watu kwa watu wengi. Wapo wengi waliokwamia hapo. Harvey Specter alisema “If you want to change your life change your [...]

Kwani Wewe Mwenyewe Unasemaje ?Kwani Wewe Mwenyewe Unasemaje ?

Ganda la yai huwa halipasuki kwa kuona muda wa kifaranga kutoka nje umefika, bali ni baada ya kifaranga kuamua kutaka kutoka nje ya ganda. Ganda huendelea kubaki pale likimuuliza kwani kifaranga mwenyewe unasemaje? Muda wa kutoka nje ukifika kifaranga husema nataka kutoka nje hata kama siuoni mlango wa kutokea. Kadri [...]

Dawa Ya Kwanza Kabisa Ya Kutibu Ugonjwa Wako Wa Kushindwa.Dawa Ya Kwanza Kabisa Ya Kutibu Ugonjwa Wako Wa Kushindwa.

Ugonjwa ni hali ya kutokuwa sawa ndani ya mwili wa mtu. Hii ni hali ambayo inakifanya viungo au mfumo fulani kutokufanya kazi kwa ushihi. Kiungo hicho kisipofanya kazi kwa usahihi, huathiri na viungo vingine kutokufanya vizuri pia. Mtu huanza kusikilizia dalili pale ugonjwa unapokuwa ndani yake. Dalili mojawapo ni maumivu, [...]