
Si Kweli Kwamba Washindi Hawakutani Na Changamoto, Bali Hawaziruhusu Ziwazuie Kufikia Hatima Yao….Si Kweli Kwamba Washindi Hawakutani Na Changamoto, Bali Hawaziruhusu Ziwazuie Kufikia Hatima Yao….
[ ] Wanafanya wanavyoviogopa.[ ] Wanachukua hatari sahihi.[ ] Hawajali wengine wanawachukuliaje.[ ] Wakikataliwa wanaenda kujiboresha zaidi na kurudi imara zaidi.[ ] Inapowalazimu kutoka nje ya mazoea, wanajisukuma kufanya hivyo.[ ] Hata wanaposhindwa mara nyingi, hawakati tamaa. Kiufupi washindi walikutana na changamoto kama unazokutana nazo wewe leo. Lakini hawakuziacha ziwazuie [...]