Category: HAMASA

Shikilia Tochi YakoShikilia Tochi Yako

“Huhitaji mwanga wa mwezi uangaze nchi nzima ili uione njia yako ya kupita usiku. Mwanga wa tochi ulioishikilia mkononi bila kuiachia inaweza ikakuongoza njia na kufika uendako”  Kama unatembea usiku, mwanga wa tochi utatosha kumulika  njia unayoipitia na kufika unakoenda. Huhitaji mwezi umulike nchi nzima ndipo uweze kupita. Katika maisha [...]

Kama Unafanya Hivi Kuwa Na Uhakika Wa Kutofika Safari Yako.Kama Unafanya Hivi Kuwa Na Uhakika Wa Kutofika Safari Yako.

“Njia pekee ya kuwa na uhakika wa kutojikwaa ni kutotembea. Lakini kutotembea ni uhakika wa kutofika” Ni wazi kuwa unapotembea na hasa nje unaongeza hatari ya kujikwaa kuliko yule anayeamua kubaki ndani. Lakini anayebaki ndani hawezi kupata kitu kingine chochote zaidi ya vile alivyonavyo pale alipojifungia. Pia hawezi kwenda sehemu [...]

Mtu Mwenyewe Ni Wewe Na Muda Wenyewe Ni Leo.Mtu Mwenyewe Ni Wewe Na Muda Wenyewe Ni Leo.

Tangu utotoni kuna maisha fulani hivi umekuwa ukiyatamani kuishi. Kuna wakati umepata picha kamili ya maisha hayo, kuna muda umishia kusema maisha fulani mazuri. Mchakato ulianza wa kuanza kutafuta maisha hayo; ulipoingia shule ya misingi ukafikiri maisha hayo yataonekana ukishamaliza shule ya msingi na kwenda labda sekondari. Inawezekana uliendelea na [...]

Simu Unayoitafuta Ndiyo Hiyo UnayomulikiaSimu Unayoitafuta Ndiyo Hiyo Unayomulikia

Kuna jamaa mmoja alikuwa na simu janja nzuri aliyoipenda sana. Kila wakati alitamani alipo na yenyewe iwepo hapo. Alifanya hivyo kwa siku nyingi huku akiomba na kutamani asiipoteze simu yake. Siku moja usiku umeme ulikatika na hivyo ndani ya nyumba kukuwa giza. Giza hilo halikumtisha kwani alikumbuka simu yake ina [...]

Haya Ndiyo Maamuzi Bora Ambayo Leo Utafanikiwa Kufayafanya.Haya Ndiyo Maamuzi Bora Ambayo Leo Utafanikiwa Kufayafanya.

Lengo kuu la kusimama mbele ya kioo cha kujitazamia huwa ni kujitazama na kujiona sehemu zile ambazo macho yako hazioni kirahisi. Hata kama uso ndio sehemu ambapo macho yako yapo lakini si rahisi kujiona. Hivyo kioo huwa msaada mkubwa sana kujiangalia uso kwani uso wa bianadamu ni kama mapokezi ya [...]

Hivi Ndivyo Chuma Ulete Wa Biashara Yako Alivyozaliwa.Hivi Ndivyo Chuma Ulete Wa Biashara Yako Alivyozaliwa.

Moja ya malalamiko mengi ambayo wafanyabiashara waliyonayo ni kupotea kwa fedha za kwa njia ya imani za kishirikina(chuma ulete). Wafanyabiashara wa karibu au watu fulani wanaoizunguka biashara za watu hao ndiyo wamekuwa wakishutumiwa kuhusika kuchukua fedha za biashara za watu kwa njia ya ushirikina. Wafanyabiashara kadhaa wamedai kushindwa kukuza biashara [...]

Biashara Yako Itafanikiwa Kama Utaitengenezea Kitu Hiki.Biashara Yako Itafanikiwa Kama Utaitengenezea Kitu Hiki.

Ni tamaa ya kila mwanadamu kufanikiwa kwenye kila jambo. Hata kukata tamaa huja baadaye sana baada ya kushindwa kuweka juhudi kwenye jitihada za mafanikio aliyokuwa anayatamani. Moja ya tamaa ya mafanikio ambayo watu wanayo ni kufanikiwa katika biashara zao. Biashara imeonekana kuwa ndiyo sululisho kubwa la mtu kupata kipato chenye [...]

Je Unaipeleka Kliniki Biashara Yako?Je Unaipeleka Kliniki Biashara Yako?

Baada ya mtoto kuzaliwa huanzishiwa kliniki ambapo hupelekwa kwevye vituo vya afya kila baada ya muda fulani, mara nyingi kila mwezi. Lengo la kumpeleka kliniki ni kutaka kujua maendeleo yake. Baada ya mtoto kuzaliwa anategemewa atakuwa anakua; yaani kuongezeka uzito, kimo nk. Pia atakuwa anaonyesha kukua kiakili, viungo nk. Baada [...]

Haya Ndiyo Macho Yanayoona Biashara Yenye Mafanikio.Haya Ndiyo Macho Yanayoona Biashara Yenye Mafanikio.

Bundi anauwezo wa kuona mbali mara kumi zaidi ya anavyoweza kuona binadamu. Hii inampa uwezo wa yeye kuona mawindo hata kwa umbali mrefu zaidi. Lakini licha ya bundi kumzidi binadamu umbali anaouona kwa kwa macho, binadamu amemzidi bundi umbali wa kuona kwa namna nyingine. Binadamu ana uwezo wa kuona kwa [...]

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kufanikiwa Kwa kufanya Vyote Pamoja.Hivi Ndivyo Unavyoweza Kufanikiwa Kwa kufanya Vyote Pamoja.

Ajira kwa sasa imekuwa sio njia ya uhakika kwa sasa ya kufikia utajiri. Ule ushauri wa kuwa nenda shule, kasome kwa bidii, faulu vizuri, ajiriwa na kupata kazi nzuri na kisha utapata fedha na kuwa na maisha mazuri umepitwa na wakati. Huu ulikuwa ni ushauri uliokuwa unalipa zamani  kwenye zama [...]