Category: HAMASA

Usiahirishe Mpaka Kesho Kama Hutamani Ufe Kabla Hujalifanya Jambo Hilo.Usiahirishe Mpaka Kesho Kama Hutamani Ufe Kabla Hujalifanya Jambo Hilo.

Maisha ya mwanadamu ni muda. Ukishakufa muda wako wa maisha unasishia hapo. Mwanadamu upo hapa duniani kwa muda maalumu kukamilisha kazi maalumu. Ni kipindi cha uhai wako tu ndipo unaweza kutengeneza thamani yako hapa duniani ambayo itaendelea kukumbukwa hata baada ya kufa kwako. Muda wa maisha yako umegawanyika sehemu tatu, [...]

Hii Ni Siri Ya Kupata Chochote Unachotaka Unayoweza Kujifunza Kwa Mtu Aliyekuwa Anakaribia Kufa Maji.Hii Ni Siri Ya Kupata Chochote Unachotaka Unayoweza Kujifunza Kwa Mtu Aliyekuwa Anakaribia Kufa Maji.

Kuna mtu mmoja alienda kuogelea ufukweni kama watu wengi wanavyoweza kwenda na kufanya hivyo. Alianza kwa kuogelea kwenye kina kifupi lakini kadri utamu wa maji ulivyozidi kuongezeka ndivyo alivyozidi kusogea kwenye kina kirefu bila kujua. Akiwa kwenye kina kirefu hali ya bahari ikachafuka na kuanza kukosa uwezo wa kuogelea vyema. [...]

Wewe Ndiwe “Boss” Wa Hisia Zako! Kataa Kunyanyaswa Na Hisia Hasi.Wewe Ndiwe “Boss” Wa Hisia Zako! Kataa Kunyanyaswa Na Hisia Hasi.

Mojawapo ya mahitaji makubwa ambayo mwanadamu huwa anatamani kuwa nayo ni mamlaka ya uthibiti wa hali mbalimbali. Huu ni uwezo wa kuwa juu ya hali yoyote ile, kuweza kuongoza kitu chochote na kikakutii. Mamlaka hii pia, binadamu huitafuta pia ili aweze kuwaongoza binadamu wenzake. Hii imekuwa sababu mojawapo ya watu [...]

Ni Wakati Sasa Wa Kutengeneza Toleo Jipya La Maisha Yako.Ni Wakati Sasa Wa Kutengeneza Toleo Jipya La Maisha Yako.

Ni asili ya binadamu kupenda vitu vipya au kufanya vitu vipya. Hii ndiyo siri waliyoing’amua watengeneza bidhaa kama vile nguo, magari au simu. Kila wakati wamekuwa wakitengeneza vitu vipya kwa matoleo tofauti ili kukata kiu ya wateja wao. Tumeshuhudia mtu akinunua nguo mpya si kwa sababu ya zamani imechakaa bali [...]

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuanza Kufikiri Kama Waliofanikiwa Ili Na Wewe Upate Mafanikio Makubwa Kama Yao.Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuanza Kufikiri Kama Waliofanikiwa Ili Na Wewe Upate Mafanikio Makubwa Kama Yao.

Kila kitu unachoona kinafanyika au kinatokea hapa duniani kinaanza kama wazo. Gari unaloliona lilianza kama wazo. Nyumba kubwa zenye ghorofa nyingi na kupanda juu sana zilianza kama wazo. Mawazo hayo yalitokana na kufikiri. Hivyo ubora wa mawazo ya mtu au watu hutegemea  namna wanavyofikiri. Kufanikiwa au kushindwa, mafanikio madogo au [...]

Usibaki Unasubiri! Nenda Kalipie, Huduma Ya Mafanikio Yako Ni Ya “Lipa Kwanza”Usibaki Unasubiri! Nenda Kalipie, Huduma Ya Mafanikio Yako Ni Ya “Lipa Kwanza”

Huwezi kwenda benki na kupanga foleni ya kwenda kutoa fedha kwenye mashine huku ukijua huna fedha yoyote kwenye akaunti yako. Pia huwezi ukatunga namba zozote zile kisha kuingiza kwenye mita ya umeme huku ukitambua kwamba ilikupasa ulipie fedha kisha upate namba za luku kwenye mita yako ili upate umeme. Kadhalika [...]

Mfahamu Leo Anayeweza Kukupa Maisha Bora Uliyoyatamani Kwa Siku Nyingi.Mfahamu Leo Anayeweza Kukupa Maisha Bora Uliyoyatamani Kwa Siku Nyingi.

Maisha bora yenye mafanikio makubwa limekuwa tamanio la watu wengi maishani. Kuna maisha fulani ambayo umekuwa ukiyatamani tangu utotoni kwako lakini mpaka leo bado hujayapata. Umekuwa ukiamini kuwa ukiyapata maisha haya, furaha itatawala na maana ya maisha yako hapa duniani itadhihirika. Umekuwa ukiota kila siku kama maisha hayo yapo sehemu [...]

Geuza Sarafu Yako Kuuona Upande Mwingine Wa Maisha Yako.Geuza Sarafu Yako Kuuona Upande Mwingine Wa Maisha Yako.

Sarafu ina pande mbili, upande wa kichwa na upande wa mkia. Lakini mara nyingi huwa tunaweza kuuona upande mmoja tu kwa wakati. Ukiona unauona upande mmoja ujue upande mwingine umejificha. Kama upande unaoonekana kwa muda huo sio ule unaoutaka unaweza ukaigeuza sarafu yako kupata upande ule unaoutaka. Matokeo ya maisha [...]

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuendesha Maisha Yako Hata Kwenye Wingu Zito.Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuendesha Maisha Yako Hata Kwenye Wingu Zito.

Rubani huweza kuiongoza ndege hata kwenye wingu zito, si kwa sababu ana uwezo wa kuona mbele, bali kwa sababu ana dira inayomuongoza wapi aielekeze ndege hiyo. Licha ya mawimbi mazito na giza kubwa ambalo linaweza kutanda asione mbele lakini huenda kwenye uelekeo sahihi kwa sababu ya dira inayomuongoza. Mtu ambaye [...]

Makosa Matano (5) Uliyoyafanya Kwa Kufikiri Dunia Ina UhabaMakosa Matano (5) Uliyoyafanya Kwa Kufikiri Dunia Ina Uhaba

Ukichoma msitu na kuteketeza chochote kilichopo, baada ya muda majani na miti itaota tena na kutengeneza msitu mwingine. Binadamu wamekuwa wakivua na kula samaki baharini kwa miaka mingi, lakini bahari haijawahi kuishiwa samaki. Binadamu wamekuwa wakivuta hewa kwa miaka mingi na idadi yao imekuwa ikiongezeka lakini hakuna hata siku moja [...]