Category: KUSUDI

Shauku 5 Zilizobeba Kusudi La Maisha YakoShauku 5 Zilizobeba Kusudi La Maisha Yako

Rafiki! Kama kuna kitu kimoja unachotakiwa kwa namna yoyote ukitambue na kukiishi, basi ni kusudi la maisha yako. Kusudi la maisha yako ndiyo sababu ya wewe kuletwa hapa duniani, mengine ni ziada tu. Kati ya hasara ambayo mwanadamu huitengeneza, ni kuishi hapa duniani tena kwa muda mrefu lakini bila ya [...]

Usife Kabla Hujatambua Kitu Hiki…Usife Kabla Hujatambua Kitu Hiki…

Kila mwanadamu aliletwa hapa duniani kwa kusudi maalumu. [  ] Ndani ya kusudi lako ndiko kuna ukuu wako.[  ] Ndani ya kusudi  lako ndiko kuna mafanikio yako kamili.[  ] Ndani ya kusudi lako ndiko kuna furaha yako kamili.[  ] Ndani ya kusudi lako ndiko kuna uamusho wa uwezo wako wa [...]

Usihangaike Huko, Ukubwa Wako Upo Hapa……Usihangaike Huko, Ukubwa Wako Upo Hapa……

Kama ukubwa ungeangaliwa kama umbo basi nyuki angesahaulika kabisa kwenye orodha licha ya asali yenye thamani kubwa anayoitengeneza Je umekuwa ukihangaika sana na kwa muda mrefu kutafuta nini ufanye ili maisha yako yawe na mafaniko makubwa ? Je umekuwa  ukifanya mjaribio mengi nini ukifanye ili uwe na mchango kwenye dunia [...]

Hapo Ndipo Utaanza Kuishi…….Hapo Ndipo Utaanza Kuishi…….

Baada ya kusoma kichwa hapo juu kuna swali litakuwa limekuja kichwani mwako mara moja, je ina maana sijaanza kuishi angali nimezaliwa siku nyingi zilizopita? Kuna uwezekano mkubwa kuwa hujaanza kuishi licha ya kuwepo hapa duniani kwa muda mrefu. Kuna ukuta ambao upo mbele yako uliogawa maisha yako pande mbili. Kuna [...]

Hii Ndiyo Mizimu Itakayosimama Mbele Yako Dakika Chache Kabla Ya Kufa…..Hii Ndiyo Mizimu Itakayosimama Mbele Yako Dakika Chache Kabla Ya Kufa…..

Kama una uhakika ulizaliwa basi naamini utakuwa na uhakika kama utakufa. Uhakika huo unao kwa sababu kuna waliozaliwa umewashuhudia wakifa. Kama kuna kitu unachotakiwa ujivunie na kushukuru sana ni kuwa hai mpaka siku ya leo. Na kama kuna swali unalotakiwa ujiulize mara kwa mara wakati wa uhai wako ni kwa [...]

Si Ukamilifu…..Bali Upekee.Si Ukamilifu…..Bali Upekee.

Bahari ni kubwa na nzuri lakini ina chumvi na giza kwenye kina kirefu. Anga huonekana lipo mbali sana lakini kila wakati hufunikwa na mawimgu. Licha ya uzuri wa mwezi lakini huwa na shimo katikati. Haya yalikuwa ni majibu ya Bobby Marley, mwanamziki nguli alipoulizwa kama kuna mwanamke kamili. Baada ya [...]

Ulizaliwa Kama Muujiza, Umepotezea Wapi Ukuu Huo?Ulizaliwa Kama Muujiza, Umepotezea Wapi Ukuu Huo?

Ulizaliwali na kupewa majina mazuri ya kila aina. Wapo waliokuita malaika, wapo waliokuita muujiza, wapo waliokuita shujaa, wapo wliokuona kama Rais. Umepotezea wapi umaarufu huo? Ulipokuwa mototo watu walikuuliza unataka kuwa nani ukiwa mkubwa? Wewe uliwajibu kwa uhakika kabisa kulingana na kile ulichokuwa unakisikia ndani yako. Nataka kuwa rubani, nataka [...]