Category: KUSUDI

Kama Kweli Unayapenda Maisha Yako Hutaacha Kufanya Jambo Hili.Kama Kweli Unayapenda Maisha Yako Hutaacha Kufanya Jambo Hili.

Maisha ya binadamu hapa duniani yamebebwa na muda wa uhai wake. Hii ina maana kuwa mtu anaweza kufanya kile anachotamani kukifanya hapa duniani kwenye kipindi cha uhai wake tu. Baada ya kufa hawezi kufanya jambo lolote licha ya dunia kuendelea kuwepo. Benjamini Franklin alisema “Do you love life? Then do [...]

Hii Ndiyo Zawadi Yako Uliyokaa Nayo Muda Mrefu Bila Kuifungua.Hii Ndiyo Zawadi Yako Uliyokaa Nayo Muda Mrefu Bila Kuifungua.

Samaki alipozaliwa na kufungua sanduku lake la zawadi akaiona zawadi yake ya pekee na kuanza kuitumia mara moja. Zawadi hiyo ilikuwa uwezo wake wa kipekee wa kuogelea majini na kuyafurahia maisha hayo. Kinda la ndege lilipototolewa lilianza kufungua sanduku la zawadi kisha likaona zawadi yake ya kipekee ya kuelea hewani [...]

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kujiona Mtu Wa Maana Katika Dunia Hii.Hivi Ndivyo Unavyoweza Kujiona Mtu Wa Maana Katika Dunia Hii.

Kujiona mtu wa maana limekuwa ni hitaji muhimu sana la binadamu. Mtu hujisikia raha, amani na ridhiko pale unapojiona ni wa maana katika dunia hii. Kujiona wa muhimu kunahusisha kutambuliwa na watu wengine. Jamii inapotambua uwepo na mchango wako ndipo inapohisi una thamani mbele ya dunia hii. Licha ya umuhimu [...]

Maana Unayoipa Misamiati Ya Maisha Ndiyo Inayokupa Matokeo Unayoyapata.Maana Unayoipa Misamiati Ya Maisha Ndiyo Inayokupa Matokeo Unayoyapata.

Mawasiliano binafsi au baina ya watu hujengwa na maneno ambayo yanaweza kuwa na maana tofauti. Maneno hayo huitwa misamiati. Misamiati hiyo inaweza ikawa na maana tofauti baina ya mtu na mtu. Watu wawili wanaweza wakatafsiri msamiati mmoja na wakatoka na maana mbili tofauti. Kwa sababu tafsiri za misamiati zinaamua vitendo [...]

Utafanikiwa Kuishi Maisha Yenye Mafanikio Makubwa Pale Utakapoanza Kutumia ‘User Manual’ Yako.Utafanikiwa Kuishi Maisha Yenye Mafanikio Makubwa Pale Utakapoanza Kutumia ‘User Manual’ Yako.

Kiwanda chochote baada ya kutengeneza kifaa chochote hasa vile vinavyotumia umeme hutengeneza mwongozo wa mtumiaji (user manual). Haya ni maelezo ya kina kuhusu kifaa hicho. Mwongozo wa mtumiaji huwa na vitu kama jina la kifaa, matumizi yake, namna ya kutumia, vifaa vingine vinavyoingiliana, shida unazoweza kukutana nazo na namna ya [...]

Huwezi Kuonyesha Ufundi Wako Wa Kuogelea Kwa Kuogelea Mavumbini Rudi Majini.Huwezi Kuonyesha Ufundi Wako Wa Kuogelea Kwa Kuogelea Mavumbini Rudi Majini.

Ukiongelea ufundi wa kuogelea majini huwezi kuacha kumtaja samaki. Hii ni kutokana na uwezo wake mkubwa wa kutembea majini na kuepuka vikwazo vyote vilivyomo. Licha ya uwezo huo mkubwa alionao samaki lakini hawezi kuuonyesha mavumbini.  Ukimchukua samaki na kumweka nchi kazu unaweza kusema sio yeye yule anayeogelea kwa ufundi mkubwa [...]

Siku Ambayo Kobe Atamsusia Jirani Yake Nyumba Yake Ndiyo Utakuwa Mwisho Wa Uhai WakeSiku Ambayo Kobe Atamsusia Jirani Yake Nyumba Yake Ndiyo Utakuwa Mwisho Wa Uhai Wake

Kobe ni mnyama ambaye mgongo wake umefunikwa na magamba magumu ambayo siyo rahisi kuyavunja. Mgongo huo huonekana kama nyumba kwake kwani akihisi hatari yoyote ile hujikunja ndani huku akizamisha kichwa na miguu yake na gamba tu ndilo linabaki likionekana. Hivyo mgongo huo ni nyumba inayotembea kwani huwepo popote alipo. Kwa [...]

Karibu Kwenye Mtandao Wa Amsha Uwezo.Karibu Kwenye Mtandao Wa Amsha Uwezo.

AMSHA UWEZO ni mtandao unaolenga kuhakikisha mtu anatumia kikamilifu nguvu kubwa iliyolala ndani yake ili kuishi maisha yenye uhuru. Kupitia huduma hii, unapata nafasi ya kutumia hazina kubwa ya uwezo mkubwa ulipo ndani yako kufanya mambo makubwa huku ukiendelea kuifanya dunia eneo zuri la kuishi. Huduma ya AmshaUwezo imejikita katika maeneo [...]