Category: MALENGO

Dawa Ya Pili Ya Kutibu Ugonjwa Wako Wa Kushindwa.Dawa Ya Pili Ya Kutibu Ugonjwa Wako Wa Kushindwa.

Hongera kwa kutambua dawa ya kwanza ya kutibu ugonjwa wako wa kushindwa. Kumbuka dawa hiyo ya kwanza ilikuwa ni kubadili mtazamo. Tuliona kuwa hakuna unachoweza kukibadilisha maishani mwako bila kubadili mtazamo kwanza.  Hivyo huwezi kubadilika kutoka kwenye kushindwa na kwenda kwenye kushinda kama hutabadili mtazamo wako. Kama hukupata bahati ya [...]

Tatizo La Kutopata Matokeo Limeanzia Hapa.Tatizo La Kutopata Matokeo Limeanzia Hapa.

Licha ya kuwa na tamaa ya mafaniko lakini watu wengi wameshindwa kuyapata mafanikio hayo. Licha ya watu kuwa vizuri kwenye kuweka malengo na mipango lakini hawajafanikiwa kupata matokeo. Hii ndiyo sababu ya watu wengi kuwa palepale miaka nenda miaka rudi. Tatizo liko wapi? Hata wewe yamkini unaweza ukawa unajishuhudia kuwa [...]

Washa Njiti Ya Maisha YakoWasha Njiti Ya Maisha Yako

“Njiti ya kiberiti ina uwezo wa kuteketeza mamilioni ya hekta za misitu iliyounganishwa pamoja” Ukiangalia njiti ya kiberiti unaweza ukaidaharau sana na kuoana si chochote. Lakini njiti ya kiberiti ndiyo inayoanzisha moto na kuchochesha kiasi cha kuivisha tofari na hata kupasua miamba. Kadhalika njiti hiyo ina uwezo wa kuteketeza misitu [...]

Utofauti Wa Waliofanikiwa Na Walioshindwa Unaanzia Hapa.Utofauti Wa Waliofanikiwa Na Walioshindwa Unaanzia Hapa.

Watu wengi wamekuwa wakiamini kuwa waliofanikiwa wana vitu vya ziada kuliko walioshindwa. Wanaamini kuwa waliofanikiwa wana uwezo wa ziada ukilinganisha na walioshindwa. Hivyo masikini wanaoamini kuwa matajiri wana vitu vya upendeleo ndani yao ukilinganisha na wao. Kama ni kwenye mashindano ya mbio basi waliofanikiwa na walioshindwa wote walianzia Kwenye mstari [...]

Muda Unaenda! Badili Wachezaji Ili Upate Matokeo.Muda Unaenda! Badili Wachezaji Ili Upate Matokeo.

Kila timu inayoshiriki mechi ya mpira wa miguu huwa na wachezaji kumi na moja ndani ya uwanja. Lakini pia kila timu huwa na wachezaji kadhaa nje ya uwanja kwa ajili ya kufanyia mabadiliko. Pale mchezaji mmoja uwanjani anapoumia na kushindwa kuendelea na mchezo, kocha hulazimika kumtoa na kumuingiza mchezaji aliyekuwa [...]

Hiki Ndicho Kitakachokupandisha Kileleni Mwa Mafanikio Yako Kwa Haraka.Hiki Ndicho Kitakachokupandisha Kileleni Mwa Mafanikio Yako Kwa Haraka.

Kitakachomfanya mtoto awahi kutembea ni kasi ile ya kujaribu kutembea licha ya maumivu anayoyapata kila anapoanguka. Kitakachomfanya mtu ajue haraka kuendesha baiskeli ni kujaribu kuning’iniza miguu juu ya baiskeli licha ya kujua kuna nfasi ya kuanguka na kuchubuka. Kuna kitu kimoja ambacho huwezi ukakiepuka kama unataka kujua kitu, nacho ni [...]

Utajiri Wako Umejificha Hapa.Utajiri Wako Umejificha Hapa.

“Utajiri wa umaarufu wa nyuki haujabebwa na uzuri wa umbo lake bali kile anachoweza kukitengeneza” Kila mwanadamu anatamani kuwa tajiri. Mahangaiko mengi ya maishanya mwanadamu yanalenga kupata utajiri kila eneo la maisha yake. Utajiri wa mali au fedha ndiyo hutawala vichwa vya watu wengi. Licha ya jitihada hizo ambazo wanadamu [...]

Huu Ndiyo Ufunguo Wa Kupata Matokeo Ya Tofauti.Huu Ndiyo Ufunguo Wa Kupata Matokeo Ya Tofauti.

Kuna matokeo unayoyapata ambayo yanakuudhi? Kuna matokeo ambayo umeyatamani siku nyingi lakini huyapati? Utaanzia wapi? Kuna sehemu moja ambayo inabidi uianzie ili uweze kupata matokeo yoyote yale. Kupata matokeo ambayo huyapati sasa, ni lazima ufanye mabadiliko, yaani ufanye kitu tofauti na kile ulichozoea. Kwa kufanya kwa utofauti kunaweza kuwa kufanya [...]

Mafanikio Yako Yanaanza Leo.Mafanikio Yako Yanaanza Leo.

“Safari yako ya miaka mia moja inaanza na leo” Una ndoto kubwa ambazo unatamani uzifikie kwenye maisha yako. Yamakini ili kutimiza hizo ndoto hizo tayari umeshaweka malengo ya kuyatimiza kwa kipindi fulani. Watu wengi pia wamekuwa wakiweka malengo kama wewe, lakini ni asilimia ndogo sana ya watu waliofanikiwa kuzifikia ndoto [...]

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutengeneza Kesho Yako Leo.Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutengeneza Kesho Yako Leo.

“Msitu wa miti unaouona leo ni matokeo ya miche iliyopandwa na kulindwa kwa miaka mingi hapo nyuma” Maisha yako ya leo sio ya leo bali ya miaka mingi ya nyuma. Kile ulichokuwa unakifanya miaka kadhaa iliyopita ndicho kilichokupa maisha yako ya leo. Kama unafurahia maisha yako leo ujue kwa asilimia [...]