Category: MALENGO

Hii Ndiyo Sumu Ya Kutopata Matokeo Unayotaka.Hii Ndiyo Sumu Ya Kutopata Matokeo Unayotaka.

Siku hizi nipo busy! sana kila wakati kuna kitu nafanya. Kazi zimekuwa nyingi sana naanza asubuhi sana na kumaliza usiku sana! Hizi ni baadhi ya kauli ambazo huwa zinatumiwa na watu wengi kuwasilisha ujumbe ni kwa namna gani wapo busy na maisha. Wewe unaweza ukawa miongoni ukiyafanya haya au umekuwa [...]

Macho Yako Yanatazama Nini?Macho Yako Yanatazama Nini?

“Simba hakosi amani kwa sababu hajui urefu wa shingo ya twiga, bali jitihada zake huwa kuhakikisha twiga huyo anakuwa kitoweo” Dunia ina mambo mengi, ina taarifa nyingi na vituko vingi. Kwa kuzingatia wingi wa mambo ya dunia huwezi kumaliza kuyaelewa. Wingi wa mambo ambayo mtu anaweza kuyafanya umekuwa mwiba kwa [...]

Pandisha Viwango Kufikia Utajiri.Pandisha Viwango Kufikia Utajiri.

Hatua ya mafanikio ya maisha uliyofikia ni kwa sababu ya viwango ulivyojiwekea maishani mwako. Viwango hivyo ndiyo ndivyo vinavyoamua ufanikiwe kiasi gani kwenye kila nyanja ya maisha yako.  Viwango hivyo ndivyo vinavyoweka ukomo kwenye mafanikio unayoyapata, hii ndiyo sababu ya kwa nini muda umezidi kwenda lakini bado upo pale pale. [...]

Hii Ni Dalili Ya Utajiri KukukaribiaHii Ni Dalili Ya Utajiri Kukukaribia

‘’Hata kama nta zitapatikana kwa shida, lakini nyuki wataendelea kuzitafuta kwa udi na uvumba ili watengeneze asali ambayo inahitajika na binadamu. Nyuki hufurahi sana akishakamisha jambo hilo’’ Licha ya utajiri kuwa ndoto ya watu wengi, lakini watu wengi bado ni masikini. Watu wamekuwa wakikinga mikono kusubiria utajiri huo, wakiamini kuna [...]

Utajiri Wa Maisha Yako Unaanza Leo.Utajiri Wa Maisha Yako Unaanza Leo.

“Safari yako ya miaka mia moja inaanza na leo” Una ndoto kubwa ambazo unatamani uzifikie kwenye maisha yako. Yamkini ili kutimiza hizo ndoto hizo tayari umeshaweka malengo ya kuyatimiza kwa kipindi fulani. Watu wengi pia wamekuwa wakiweka malengo kama wewe, lakini ni asilimia ndogo sana ya watu waliofanikiwa kuzifikia ndoto [...]

Usihangaike Kunyoosha Kivuli Cha Mti; Nyoosha Mti Wenyewe.Usihangaike Kunyoosha Kivuli Cha Mti; Nyoosha Mti Wenyewe.

Itakuwa ni ajabu sana kwako kama utamuona mtu yupo ‘busy’ akijaribu kunyoosha kivuli cha mlingoti kwa sababu taswira yake inaonyesha imepinda akitarjia atafanikiwa kufanya hivyo na kuunyoosha mlingoti huo. Mtu huyo ungefikiri kuwa atakuwa na upungufu wa akili. Lakini jambo hili lipo katika jamii na ndilo linalochangia kushindwa kwa watu [...]

Usikose Muda Wa Kunoa Shoka Kabla Hujaanza Kukata Mti.Usikose Muda Wa Kunoa Shoka Kabla Hujaanza Kukata Mti.

Aliyewahi kuwa Rais wa Marekani Abraham Lincoln aliwahi kunukuliwa akisema “Give me six hours to chop down a tree and I will spend the first four sharpening the axe” ikiwa na tafsiri isiyo rasmi kuwa akipewa masaa sita ya kukata mti basi atatumia masaa manne ya kwanza kunoa shoka. Unaweza [...]

Tengeneza Nguvu Hii Kubwa Ya Mnyororo Kwenye Maisha Yako.Tengeneza Nguvu Hii Kubwa Ya Mnyororo Kwenye Maisha Yako.

Mnyororo huundwa na vipande vidogo vidogo vya chuma. Mnyororo una matumizi mbalimbali kama ulinzi (kufungia mbwa na mageti), kuvutia mashine kama vile magari, trekta nk. Licha ya mnyororo kuhitaji vipande vidogo vidogo ili kukamilika, una sifa ambazo unaweza kuzitumia na kuamsha nguvu kubwa za kukupa mafanikio makubwa maishani mwako. Zifuatazo [...]

Hivi Ndivyo Unavyomaliza Mafuta Ya Gari La Safari Yako Hapo Duniani.Hivi Ndivyo Unavyomaliza Mafuta Ya Gari La Safari Yako Hapo Duniani.

“Gari lililowasha na kuendelea kuunguruma bila ya kuondoka litaendelea kutumia mafuta hata baadaye mafuta kuisha kabisa” Chochote unachoweza kukifanya hapa duniani kimeunganisha na muda. Kama huna muda huwezi kufanya chochote.  Baada ya kufa muda na maisha yako hukoma pale kwani hutaweza kufanya kitu chochote. Licha mtu anaweza kufa muda wowote [...]

Tumia Macho Haya Kufika Safari Yoyote Ile, Hata Ukiwa Umelala Usingizi.Tumia Macho Haya Kufika Safari Yoyote Ile, Hata Ukiwa Umelala Usingizi.

Macho yako ya nyama hutumiaka kutazama na kuona njia au vitu. Ni kwa kupitia macho yako ndipo unapoweza kukanyaga sehemu sahihi ya barabara na kufanikiwa kufika safari yako. Lakini ukishachoka na kuamua kulala, hayawezi kuona tena chochote kwani hufumba na hivyo huwezi kufanya safari yoyote. Lakini una macho mengine ambayo [...]