Category: NIDHAMU

Tabia 12 Za Waliofanikiwa Sana(Sehemu ya Tatu).Tabia 12 Za Waliofanikiwa Sana(Sehemu ya Tatu).

Kama kuna watu wanaofanikiwa sana huku wengine wakishindwa sana basi pia kutakuwa na kitu kinachowatofautisha sana hao waliofanikiwa na walioshindwa. Kitu hicho ni TABIA. Waliofanikiwa wana vitu wanavyovifanya kila wakati kama sehemu yao ya maisha ambavyo ni tofauti na walioshindwa. Baada ya kujifunza tabia nane za awali za waliofanikiwa kwenye [...]

*Thamani Yako Haipotei Bure.**Thamani Yako Haipotei Bure.*

Mkulima mmoja alikuwa na ndoo mbili alizokuwa anatumia kutekea maji mtoni kisha kupeleka nyumbani. Ndoo moja ilikuwa imetoboka kiasi cha kumwaga maji njiani na kufikisha maji nyumbani yakiwa yamepungua. Ndoo nyingine ilikuwa ni nzima na hivyo kufikisha maji yote nyumbani. Baada ya siku nyingi kupita, ile ndoo iliyokuwa imetoboka ikahuzunika [...]

Huwezi Kuamini Kama Umejisahau Kiasi Hiki!Huwezi Kuamini Kama Umejisahau Kiasi Hiki!

Je unaweza kuwa mwaminifu kujibu swali hili! Je tangu ulipoanza kufanya kazi na kupata kipato, ni kiasi gani cha fedha kimepita mikononi mwako? Kama utakumbuka vizuri, kutakuwa na kiasi kikubwa sana fedha kimepita mikononi mwako. Je ni fedha kiasi kimebaki mikononi mwako? Inawezekana ukijumulisha kipato ambacho umeshawahi kutengeneza ni sh [...]

Hii Itakuwa Siku Yenye Maumivu Makubwa Sana Kwako Usipofanya Hivi…..Hii Itakuwa Siku Yenye Maumivu Makubwa Sana Kwako Usipofanya Hivi…..

Kuna maumivu uliyokwisha yapata maishani mwako, yalikuumiza sana na uliteseka sana. Lakini kuna maumivu makali zaidi utayapata maishani mwako kama utakuwa hujafanya hiki…. Maumivu hayo yatakuwa ni kutakuwa na muda, nafsi au uwezo tena wa kufanya vile ulivyopanga au fikiri kufanya hapo awali. Ipo siku itafika ambapo utatambua kuwa sasa [...]

Usikubali Kutumbukia Kwenye Shimo Hili Kwa Hiari…..Usikubali Kutumbukia Kwenye Shimo Hili Kwa Hiari…..

Matamanio ya mafanikio na mafanikio yenyewe havipo pamoja. Kuna safari ya kuiendea ili kuweza kuyafikia mafanikio hayo. Lakini watu wengi wamekuwa hawaifiki safari hiyo kwa sababu ya kuishia njiani. Katika ya matamanio hayo na mafanikio hayo kuna mashimo mengi ambapo mtu hutakiwa kuyakwepa ili kuweza kuyafikia mafanikio makubwa maishani mwake. [...]

Usitafute Mbadala Wa Mambo Haya Kumi(10) Isipokuwa…..Usitafute Mbadala Wa Mambo Haya Kumi(10) Isipokuwa…..

Hakuna mtu mwingine wa kutengeneza maisha uanayoyataka isipokuwa wewe mwenyewe. Hata huyo unayedhania, ana kazi kubwa ya kujitengeneza kuwa yeye. Unataka kuwa nani? Anza kuweka kazi ya kuwa huyo unayemtaka. Unataka matokeo lakini unaichukuia na kuikimbia kazi. Hapo unajidanganya. Weka mipango kisha wewe kazi, tena kazi mkubwa. Tumia akili, ndiyo, [...]

Ona Ulivyoshiriki Kumuua Huyu Babu!Ona Ulivyoshiriki Kumuua Huyu Babu!

Kuna tajiri mmoja alitoka nje ya nyumba yake nyakati za usiku na kumkuta babu akiwa amekaa nje ya nyumba yake. Kwa sababu ya baridi kali ya siku hiyo babu huyo alikuwa amejikunyata huku akitetemeka. Ndipo yule tajiri akamuuliza kwa nini alikuwa hajavaa koti zito au kujifunika blankenti zito ili kujikinga [...]

Je Hicho Ndicho Unachokihitaji Zaidi Maishani Mwako?Je Hicho Ndicho Unachokihitaji Zaidi Maishani Mwako?

Uliposikia maneno haya ‘’unachokihitaji zaidi maishani mwako’’ kuna kitu kilikuja kwenye fikra zako kuwa hiki ndicho ninachokihitaji. Watu wengi wana vitu fulani ndani yao ambavyo wangetamani kuvipata au kuvikamilisha kabla hawajaondoka katika dunia hii.·       Wapo ambao wangependa waishi maisha fulani ambayo wanahisi wangefikia kilele cha furaha maishani mwao.·       Wapi ambao [...]

Usiache Kufanya Hili Hata Mara Moja , Isije Ikageuka Kuwa Tabia Yako.Usiache Kufanya Hili Hata Mara Moja , Isije Ikageuka Kuwa Tabia Yako.

Ndugu yangu,Wanasema mafanikio ni tabia. Kama kuna tabia za kufanikiwa basi kuna tabia za kushindwa pia. Ili uweze kujenga tabia yoyote unahitaji wa wastani wa siku 66. Baadhi ya tabia na watu huenda mpaka zaidi ya siku 200. Tabia za mafanikio ni kama;[ ] Kuchukua wajibu maisha yako[ ] Kukweka [...]

Fanya Kazi Ya Masaa 8 Kwa Saa 1.Fanya Kazi Ya Masaa 8 Kwa Saa 1.

Kama ufanisi wa kazi ungekuwa unapimwa kwa kiasi ambacho upo ‘busy’ basi leo u ungekuwa umefanikiwa sana. Bahati mbaya ufanisi wako unapimwa kwa matokeo unayoyazalisha. Umekuwa ukiamka ukiwa na nguvu lakini unarudi jioni ukiwa umechoka sana. Ukilinganisha nguvu na muda uliowekeza kisha matokeo uliyoyapata ni vitu viwili tofauti. Mara nyingi [...]