Category: UKUAJI

Kaa Juu za Mizani Hizi Kujua Kama Unakua au Unakufa.Kaa Juu za Mizani Hizi Kujua Kama Unakua au Unakufa.

Kuna kauli inasema kama hukui basi unakufa. Ni kauli muhimu sana ya kupima jinsi unavyoenenda katika maisha yako. Pia ni kiashiria kuwa kumbe ili uweze kufanikiwa unahitaji kukua, la sivyo utakuwa unakufa. Je kwa jinsi unavyofanya mambo yako unakua au unakufa? Mtoto akipelekwa kliniki ili kujua kuwa unakua au la [...]

Ukikitamani Kitu Fanya Hivi Ili Ukipate…..Ukikitamani Kitu Fanya Hivi Ili Ukipate…..

Kuna vitu umevitamani uvipate maishani. Tena kwa sababu ya kuvitamani na na kuvifikiri kwa muda mrefu, umeviota hata usiku. Umetamani kuwa na maisha fulani hivi ambayo watu wengine hawayaoni. Umetamani kuwa na biashara fulani lakini bado hatujaiona. Umetamani kuwa mtu fulani lakini bado hajawa mtu huyo. Umetamani…..lakini…….hujawa. Hii ni moja [...]

Lazima Fundi Akatekate Kitambaa Kwanza!Lazima Fundi Akatekate Kitambaa Kwanza!

Kama hujawahi kumuona fundi cherehani akikatakata kitambaa wakati anashona nguo yako, unaweza kugombana naye. Utagombana naye baada ya kuona kitambaa kilichokuwa kizima na kupendeza sasa kinakatwakatwa kwenye sura isiyoeleweka. Lakini kama utapana nafasi ya kusubiri pale atakapoanza kuviuganisha vipande hivyo, utaannza kupata faraja kuwa kuna kitu cha maana kwenye kile [...]

Endelea Kumwagilia; Huwezi Kuchuma Matunda Kwenye Mche.Endelea Kumwagilia; Huwezi Kuchuma Matunda Kwenye Mche.

Ili kuweza kupata matunda kutoka kwenye mti, mbegu yake huzikwa ardhini kisha kuota na kutoa mche. Mche wake huendelea kumwagiliwa ili uendelee kukua na kuwa mti kisha kuzaa matunda. Itakuwa ni ajabu mkulima huyo kuanza kuulaumu mche wa mti huo kwa kutokutoa matunda. Hii ni kwa sababu mkulima hujua ni [...]

Kwa Nini Husogei?Kwa Nini Husogei?

Kama utamuona mtu sehemu hiyo hiyo barabarani kwa muda mrefu bila ya kwenda mbele au kurudi nyuma, utamshangaa sana. Unaweza kujiuliza maswali mengi ambayo ukakosa majibu ya kwa nini yupo pale akiwa ameganda kwa muda mrefu hivyo? Na mara nyingine unaweza kwenda mbali zaidi ukiamini atakuwa amechanganyikiwa. Lakini mgando kama [...]

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kukua Bila KukomaHivi Ndivyo Unavyoweza Kukua Bila Kukoma

Kama hakikui basia kinakufa. Hii ni siafa kubwa ya viumbe hai ikiwa ni pamoja na binadamu. Baada ya mtoto kuzaliwa, anatarajiwa atakua katika kimo,akili,uzito nk. Kama vitu hivyo vispokuwa vinatokea huashiria kuwa kutakuwa na tatizo sehemu. Kumekuwa na changamoto kubwa ya watu kukua. Licha ya muda kupita na umri wao [...]

Hili Ndilo Eneo Lako La Kujidai.Hili Ndilo Eneo Lako La Kujidai.

Ukimuona nyani akiwa msitini akiruka kutoka tawi moja la mti kwenda jingine utadhani yeye ndiye aliye umba matawi hayo na kuwa ana gundi miguuni mwake. Hili ni eneo lake la kujidai. Ukimuona samaki akiwa majini akiogelea kwa maringo utasema anaijua kweli sayansi ya maji. Maji ni eneo lake la kujidai. [...]

Ni Mpaka Uviweze Hivi Vidogo Kwanza!Ni Mpaka Uviweze Hivi Vidogo Kwanza!

Ndugu yangu, najua unatamani vitu vikubwa kwenye maisha yako. Ni kweli una haki ya kuvipata. Lakini kama hujavipata, kuna vitu vinavyokuzuia. Kuna vitu vinavyokuzuia usipate vitu vikubwa. Vitu hivyo vinaitwa vitu vidogo. Kumbuka hata vitu vikubwa vinaanza na udogo wake. Wanasema safari ya maili elfu moja inaanza na hatua moja. [...]

Wewe Ni Mbegu, Toa Matunda!Wewe Ni Mbegu, Toa Matunda!

Wewe ni mbegu. Kama mbegu nyingine, unatarajiwa uweze kuzaa matunda yenye mbegu kisha nayo yazalishe matunda mengine. Sababu mojawapo inayosababisha kutokukua au ukuaji mdogo ni kwa sababu ya kutoitumia mbegu iliyopo ndani yako kuzaa matunda na mbegu nyingine pia. Mbegu ya mwembe huzaa maembe yenye mbegu kisha mbegu hizo huwa [...]

Hivi Ndiyo Viashiria Vya Kujua Kama Unakua.Hivi Ndiyo Viashiria Vya Kujua Kama Unakua.

Zimebaki siku chache tu niuage mwaka huu na kuuakaribisha mwaka mwingine mpya. Itakuwa bye bye 2022 na karibu 2023. Haya ni mawazo ambayo yapo kwenye vichwa vya watu wengi ikiwa ni mwisho wa mwaka huu ambao unaonekana ulianza juzi tu. Inawezekana na wewe ni miongoni mwa watu wanaosubiria kwa hamu [...]