Category: UKUAJI

*Hivi Ndivyo Umekuwa Ukiukuza Mbuyu Kwenye Chungu.**Hivi Ndivyo Umekuwa Ukiukuza Mbuyu Kwenye Chungu.*

Mbuyu ni miongoni mwa miti mikubwa duniani. Huheshimika kwa unene wake kwani hata kama upo mbali utaonekana kwa sababu ya unene huo. Kwa sababu ya ukubwa wa mti wenyewe, mizizi yake hulazimika kuwa mikubwa na hivyo kusambaa na kujishikiza kwa uimara mkubwa kwenye ardhi ili kuhakikisha unaendelea kuusimamisha mti huo. [...]

Haya Ndiyo Maamuzi Yenye Hatima Njema Kwenye Maisha Yako.Haya Ndiyo Maamuzi Yenye Hatima Njema Kwenye Maisha Yako.

Nini kinachoamua maisha yako ya kesho? Utakuwa wapi miaka kumi ijayo? Nini utakuwa umeshafanya muda wako wa kuishi hapa duniani utakapokuwa umeisha? Nani anaamua hatima ya maisha yako? Haya ni maswali ambayo unaweza kuwa unajiuliza sasa. Sababu ya maswali hayo hapo juu inaweza kuwa ndiyo sababu iliyokusababisha kuwa hapo ulipo. [...]

Fanya Haya Ili Mbegu Yako Ya Uwezo Izae Matunda.Fanya Haya Ili Mbegu Yako Ya Uwezo Izae Matunda.

Mkulima akiliona embe huiona mbegu ndani ikiwa mti wenye matunda mengine mengi. Tofauti na mlaji, akiliona embe huona vipande vya embe kwenye sahani akivila huku akifurahia utamu wake. Hata kama mbegu ya mwembe itakuwa ina uwezo wa kuzaa matunda mengine lakini hupitia hatua mbalimbali ili kuweza kuzaa matunda hayo. Mkukima [...]

Hii Ndiyo Njia Pekee Ambayo Wengi Wamepiga Hatua Kubwa Kupitia Maarifa.Hii Ndiyo Njia Pekee Ambayo Wengi Wamepiga Hatua Kubwa Kupitia Maarifa.

Wapo wachache walionufaika na maarifa, lakini wengi wakishindwa kutumia fursa hii katika kuishi maisha ya mafanikio. Huwezi kutenganisha mafanikio unayoyataka na maarifa. Kila utakachopanga kukifanya ili kupata mafanikio, kina changamoto zake hivyo kuhitaji majibu ili kuweza kuzitatua na kisha kusonga mbele. Changamoto nyingi ambazo mtu anakutana nazo na kisha kumkwamisha [...]