Category: Uncategorized

95% Ya Mafanikio Yako Yamejificha Hapa…..95% Ya Mafanikio Yako Yamejificha Hapa…..

Kama kuna siri kubwa umekuwa ukiitafuta juu ya kupata mafanikio,  basi leo utaifahamu. 95% ya mafanikio ambayo umeyatafuta kwa siku nyingi ipo yamejificha kwenye msimamo.  Ndiyo MSIMAMO. Msimamo ni kufanya kitu kimoja kwa kujirudia rudia bila kuacha mpaka upate matokeo unayoyataka. Licha ya kuweka nguvu ili kupata mafanikio  lakini hujafanikiwa [...]

Fedha Zilizochakaza Pochi Yako Umezipeleka Wapi?Fedha Zilizochakaza Pochi Yako Umezipeleka Wapi?

Kama pochi yako imechakaa ni ishara kuwa kuna fedha nyingi zimekuwa zikiingia humo. Swali muhimu la kujiuliza ni wapi umezipeleka fedha hizo? Kama kuna fedha nyingi ziliingia kwenye pochi yako na kuichakaza lakini hakuna fedha yoyote uliyobakia nayo, basi huu ni ushahidi tosha kuwa kila fedha iliyopita mikononi mwako,  uliitumia [...]

Una Uhuru Wa Kuchagua,  Umechagua Nini?Una Uhuru Wa Kuchagua,  Umechagua Nini?

Kila kitu kinaanza kama wazo. Hivyo ulivyonavyo vimetokana na mawazo uliyotengeneza kisha matendo. Kumbe ukitaka kubadili maisha yako , anza kwa kubadili namna unavyowaza. Habari njema ni kuwa una uhuru wa nini ukiwaze na kubadili ulichokuwa unawaza. [  ] Umewaza kushindwa una uhuru wa kuanza kuwaza unaweza. [  ] Umekuwa [...]

Kama Na Wewe Unajiuliza ‘Sijui Nianzie Wapi?’ Basi Hapa Ndiyo Pa Kuanzia…Kama Na Wewe Unajiuliza ‘Sijui Nianzie Wapi?’ Basi Hapa Ndiyo Pa Kuanzia…

Kinachokuza Yai kuwa kifaranga si ganda lake bale kiini kilichopo ndani yake. Kadhalika Kinachoweza kuongeza kasi ya gari si bodi yake bali injini iliyopo ndani yake. Hivyo wakati wote sehemu sahihi ya kuanzia kufanya mabadiliko sahihi katika maisha yako ni ndani mwako. Ukuuaji au udumavu kwenye maisha yako umeanzia ndani [...]