Category: Uncategorized

Misuli Huimarika Kwa MaumivuMisuli Huimarika Kwa Maumivu

Tofali bichi lililotengeneza kwa udongo huanza kuimarika na kuvutia macho baada ya kupita na kuvumilia kwenye moto wa tanuru. Kadhalika dhahabu huonekana safi na kung’aa baada ya kupitishwa kwenye moto mkali. Mtu anayefanya mazoezi makali, misuli yake huonekana imara baada ya kuvumilia maumivu makali wakati wa mazoezi. Misuli, tofali bichi [...]

Mtambue Leo Aliyekupangia Kiasi Cha Mafanikio UnayoyapataMtambue Leo Aliyekupangia Kiasi Cha Mafanikio Unayoyapata

Je unaridhika na kiasi cha mafanikio unayoyapata? Je unajua ni nani aliyekupangia kiasi hicho? Je umekuwa ukimlaumu nani kwa mafanikio kidogo unayoyapata? Inawezekana na wewe ni miongoni mwa watu  ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakitafuta mtu au watu wa kuwalaumu na kuwalalamikia kwa mafanikio madogo waliyoendelea kuyapata. Umeilaumu serikali, wazazi [...]

Dunia ImekuhadaaDunia Imekuhadaa

Ulipokuwa mtoto ulikuwa mtulivu ukifanya uliyoyafikiri wewe, yaani ya ndani mwako. Ulikuwa unacheka sana bila ya kujali nani alikuwa anakuona. Chochote ulichotaka ulijaribu kukipata hata kile kilichoonekana kuwa mbali na wewe, ukiamini unaweza kukifikia. Uliamini hakuna kinachoshindikana, ulijaribu kufanya vitu vingi ukiamini utafanikiwa. Haya yote yaliwezakana kwa sababu uliyasikiliza toka [...]

Tumia mbegu iliyoko ndani yako kutengeneza msituTumia mbegu iliyoko ndani yako kutengeneza msitu

Watu wawili wanaweza wakawa na maono mawili tofauti kuhusu mbegu ya mti iliyojuu ya ardhi. Mmoja anaweza kuona ukuni kwenye mbegu hiyo. Huyu atakuwa ameamini kuwa mbegu hiyo ikipandwa itaota na baadaye kukua kuwa mti kisha kukatwa na kutumika kama ukuni. Mwingine akiiona mbegu hiyo ataona msitu ndani yake. Huyu [...]