Category: Uncategorized

Kiungo Pekee Unachohitaji Ili Kutimiza Malengo Yako Mwaka 2024.Kiungo Pekee Unachohitaji Ili Kutimiza Malengo Yako Mwaka 2024.

Je mwaka wako 2023 unaisha huku ukiwa umeinamisha kichwa chini kwa kutotimiza malengo yako mengi? Je mwaka 2023 unaisha ukiwa na maumivu makali ya kipato chako duni? Je mwaka 2023 unaisha ukiwa hujaweka akiba yoyote? Je mwaka 2023 unaisha ukiwa umeahirisha mambo mengi muhimu ambayo yangekupa mafanikio makubwa? Ukweli ni [...]

Hivi Ndivyo Unavyochimba Kaburi La Kuzika Ndoto Zako. Okoa Uhai Wa Ndoto Zako Sasa…Hivi Ndivyo Unavyochimba Kaburi La Kuzika Ndoto Zako. Okoa Uhai Wa Ndoto Zako Sasa…

Kwa nini hakuna dalili yoyote ya kutimiza ndoto za maisha yako ambazo zingekupa thamani kubwa ya uwepo hapa duniani? Kwa nini umekuwa ukiweka malengo yaleyale miaka nenda miaka rudi bila kuyatimiza? Kwa nini kila ukipanga kufanya kitu umekuwa ukiahirisha kabla aua muda mfupi tu baada ya kuanza kufanya? Kwa nini [...]

Hiki Ndicho Kimekuwa Kinakuzuia Usipate Unachostahili. Ifahamu Njia Ya Uhakika Ya Kukusaidia Kutoka Hapo…Hiki Ndicho Kimekuwa Kinakuzuia Usipate Unachostahili. Ifahamu Njia Ya Uhakika Ya Kukusaidia Kutoka Hapo…

Kipato unchokipata sicho unachostahili, ndiyo maana huridhiki nacho. Kasi ya mafanikio siyo unayostahili, ndiyo maana umeachwa mbali sana na mahitaji ya fedha. Hali ya biashara yako siyo unayostahili, ndiyo maana ni kama ipo kwenye chumba cha wagonjwa mahututi(ICU). Malengo yako uliyonayo siyo unayostahili ndiyo maana huamushi nguvu kubwa ndani yako [...]

Hii Ndiyo Siri Ya Kuwa Mshindi Mbele Ya Changamoto Yoyote Ile.Hii Ndiyo Siri Ya Kuwa Mshindi Mbele Ya Changamoto Yoyote Ile.

Hakuna safari ya mafanikio isiyokuwa na changamoto. Kila ulipoweka malengo yako na kuamini matokeo yake yatakupeleka hatua nzuri zaidi, vikwazo vikaibuka na kukuzuia. Hali ya kushindwa kwenye maisha yako ni kutokana na jinsi ulivyokubali kupigwa na changamoto ambazo zimekuwa zikisimama mbele ya jitihada zako. Umejaribu kwa njia mbalimbali kujinasua, lakini [...]

Wewe Anza Tu!Wewe Anza Tu!

Anza Leo….ni kauli ambayo nimekuwa nikiiandika mwanzo mwa dondoo ambazo naziandika kila siku. Kauli hii nimekuwa nikiiandika baada ya kuona kuwa kitu kinachowatatiza watu wengi kutochukua hatua kisha kupata kile wanachokitaka ni kutovuka hatua ya kuanza. Mtu anakuwa tayri ana malengo na mpango lakini haanzi. Mtu anakuwa na mtaji lakini [...]

Epuka Kifungo Hiki Ili Uishi Kikamilifu…Epuka Kifungo Hiki Ili Uishi Kikamilifu…

Maisha yako mwanadamu ni muda unaopewa uishi hapa duniani. Ni kipindi cha uhai wako ndipo unapoweza kufanya chochote unachotaka.  Baada ya kufa, hakuna historia mpya unayoweza kuitengeneza. Lakini kumbuka kuwa maisha yako yamewekwa katika vipindi mbalimbali.  Kuna vipindi vigumu na rahisi, kulia na kucheka, kusogezwa na kutengwa, kukubaliwa na kukataliwa, [...]

Mheshimu Huyu Ukutane Na Mafanikio Yako.Mheshimu Huyu Ukutane Na Mafanikio Yako.

Kwa sababu ya kiu kubwa ya kupata mafanikio, watu wametamani kupata matokeo wanayoyataka muda ya muda mfupi sana. Kama ungekuwa unalinganisha na njaa ya chakula, watu wanatamani wapakue chakula na kula hata kabla hakijaiva. MUDA ni kigezo kikubwa cha wewe kupata kile unachokita. Hata kama una haraka kiasi gani, ili [...]