Category: Uncategorized

Hii Sasa Ndiyo Maana Halisi Ya Imani Ya Kupata Chochote.Hii Sasa Ndiyo Maana Halisi Ya Imani Ya Kupata Chochote.

Kijiji kimoja kilikosa mvua kwa muda mrefu kiasi cha kusababisha ukame na njaa kali kijijini hapo. Ndipo walipoamua kukaa chini na kutafakari nini wafanye. Baada ya kukaa chini na kutafakari kwa kina, wanakijiji hao walikubaliana kuwa wakutane siku moja wamuombe Mungu wao awape mvua. Kwenye siku waliyopanga kukuatana kwa ajili [...]

Usikubali Kuzidi Kupotea! Geuka !Usikubali Kuzidi Kupotea! Geuka !

Njia pekee ya kulinusuru gari lililopotea si kuongeza kasi kwenye uelekeo wa upotevu, bali ni kugeuka kisha kurudi kwenye uelekeo sahihi. Kama unaziona ishara hizi kwenye maisha yako, basi tambua kuwa uelekeo wako wa hatua unazozichukua kila siku siyo sahihi. Je unaweka nguvu kubwa sana kwenye mambo yako lakini hupati [...]

Jisome Kwanza Wewe MwenyeweJisome Kwanza Wewe Mwenyewe

Moja ya kikwazo kikubwa kilichokuzua kutokupiga hatua ili kusogelea kile unachokitaka ni tabia yako ya kuwasoma watu wengine. Umetumia muda mwingi kufuatilia mienendo ya watu wengine huku ukiacha maisha yako yajiendeshe yenyewe. Je huwa hushituki unafahamu taarifa za mtu mwingine kiundani kuliko za kwako? Mara ngapi umefahamu mtu fulani amefanya [...]

Yakimbilie Mambo Haya Matatu, Kila Kitu Kizuri Maishani Kitakukimbilia.Yakimbilie Mambo Haya Matatu, Kila Kitu Kizuri Maishani Kitakukimbilia.

Rafiki yangu! Utajisikiaje kama leo utatambua mambo matatu ambayo ukiyakimbilia yatavuta mambo mengine yote mazuri kwenye maisha yako? Naamini utajisikia vizuri. Habari njema ni kuwa makala hii itakuambia kwa wazi kabisa mambo hayo matatu. Jambo la kwanza; Maarifa. Hata kitabu kitakatifu(Biblia) kinaweka wazi kuwa watu huangamizwa kwa kukosa maarifa. Kumbe [...]

Kwani Wewe Mwenyewe Unasemaje?Kwani Wewe Mwenyewe Unasemaje?

Walipokuambia wewe huwezi kwa wewe ulisemaje?Walipokuambia huwezi kufika mbali kwani wewe ulisemaje?Walipokuambia utakufa masikini wewe ulisemaje?……….wewe ulisemaje? Dunia imejaa maoni kuhusu wewe. Wazazi wamekuwa na maoni kuhusu wewe tangu kuzaliwa kwako. Majirani wamekuwa na maoni kuhusu wewe. Walimu wamekuwa na maoni kuhusu wewe. Wewe ulisemaje? Maoni ya watu yamekutengeneza wewe [...]

Semina!   Semina!   Semina!   Semina!    Semina! Semina!Semina!   Semina!   Semina!   Semina!    Semina! Semina!

PIGA ‘U-TURN’ 101 ZA MAISHA YAKO “Badili uelekeo wa maisha yako kupata mabadiliko unayostahili maishani mwako” Baada ya dreva kutambua kuwa uelekeo anaoliendesha gari siyo sahihi bali kinyume chake ndiyo uelekeo sahihi, huchukua uamuzi wa kuitafuta U-TURN kisha kulikunja gari na kuanza kuelekea uelekeo sahihi. Ni hatua moja tu huifanya [...]

Nguvu ya Maono Katika Kujenga Nidhamu Kali.
Nguvu ya Maono Katika Kujenga Nidhamu Kali.

“Dreva akishajikumbusha akilini mwake safari ndefu iliyopo mbele hujikuta akiongeza mwendokasi na kutamani sehemu nyingine magurudumu ya yasikanyage” Kama umeshawahi kupanda mabasi yanayokwenda masafa marefu kwa mfano Dar – Tunduma au Mwanza Dar utaelewa kauli hiyo hapo juu. Madreva wa mabasi kama hayo huwa na nidhamu kali sana. Nidhamu hiyo [...]