Category: Uncategorized

Anza Na Ukuaji Huu Kujihakikishia Mafanikio.Anza Na Ukuaji Huu Kujihakikishia Mafanikio.

Mtoto akizaliwa na kuendelea kubaki na uzito uleule bila ya kuongezeka atashangaza sana. Jitihada mahususi zitachukuliwa ili kwanza kujua tatizo alilonalo na pili kulitatuta tatizo hilo. Hiki ndicho kinachotakiwa kufanyika pia katika maisha ya mtu. Kama unaona muda unazidi kwenda lakini kuna hatua ndogo sana unazipiga au hakuna hatua kabisa [...]

🔥🔥Huu Ndiyo Moto Pekee Wa Kuivisha Mafanikio Yako. 🔥🔥🔥🔥Huu Ndiyo Moto Pekee Wa Kuivisha Mafanikio Yako. 🔥🔥

Weka pilipili, weka chumvi, weka ndimu, weka chochote utakachotamani kukiweka kwenye nyama unayoitamani kula, kama hakutakuwa na mtoto wa kuivisha nyama hiyo, itakuwa shida kuwa na kitoweo. Tamani mafaniko uwezavyo, panga upangavyo, hata kama usipolala kabaisa lakini kama hutaweka kazi basi tambua hakuna matokeo yoyote utakayopata kama hakutakuwa na wa [...]

Hiki Ndiyo Kitu Kidogo Lakini Chenye Matokeo Makubwa.Hiki Ndiyo Kitu Kidogo Lakini Chenye Matokeo Makubwa.

“Ni mpaka pale akili itakapokubali kugeuka na kurudi nyumbani ndipo nayo miguu iliyosahau kiatu nyumbani inavyoweza kurudi kufuata viatu hivyo” Nimejaribu mambo mengi lakini sipati ninachotarajia! Kwa hatua niliyofikia naona giza tu sijui nianzie wapi? Inafika hatua naona kama dunia inanisaliti! Sijui nifanye nini? Hizi ni kauli na hali ambazo [...]

Vitendo Vina Kelele Kuliko Maneno.Vitendo Vina Kelele Kuliko Maneno.

“Chuma hulia baada ya kupondwa na ngoma baada ya kudundwa. Kadhalika kipaza sauti hukuza sauti na si mawazo “ Miongoni mwa matamanio makubwa ya binadamu ni kutambulika na kuona ana umuhimu kwenye jamii.  Kwa sababu ya matamanio haya watu wameweka bidii kuwaelezea watu jinsi ambavyo wangetamani kuwa hata pale ambapo [...]