Category: Uncategorized

Hii Ndiyo Siri Ya Kupata Matokeo.Hii Ndiyo Siri Ya Kupata Matokeo.

Kuni zinapokubali kuungua kisha kubadilika kuwa majivu, ndipo unapoweza kupata joto lililofichwa ndani ya kuni hizo. Kadhalika mbegu ya mti inapokubali kufa na kubadilika kuwa mche, ndipo tunapoweza kupata mti mkubwa uliofichwa ndani ya mbegu hiyo. Ukiuangalia ukuni kabla haujashika moto huwezi kudhania utazalisha joto la kutosha kuivisha chakula. Vivo [...]

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutumia Sumaku Iliyopo Ndani Yako Kuvuta Mafanikio.Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutumia Sumaku Iliyopo Ndani Yako Kuvuta Mafanikio.

Ukichukua unga wa chuma na kuusogeza karibu na sumaku, unga huo utavutwa kwenye sumaku. Sumaku haitakuwa na mjadala kama ivute chuma hicho au la. Lakini ukichukua unga wa mahindi na kuweka karibu na sumaku hakuna kitakachoendelea zaidi ya kubaki vinatazamana. Nguvu ya sumaku kuvuta chuma ipo ndani yako ambayo unaweza [...]

Huu Ndiyo Ufunguo Wa Kupata Siri Za Dunia Hii.Huu Ndiyo Ufunguo Wa Kupata Siri Za Dunia Hii.

Moja kati ya sababu kubwa ya watu wa dunia hii kuhangaika na kukosa furaha ni kutoielewa dunia, yaani watu wake na vitu vingi vilivyomo. Imekuwa ngumu kumuelewa mtu alivyo na kuwa ana nini ndani yake chenye thamani. Ni mara ngapi umeishi na mtu kwa muda mrefu bila kugundua  kuwa alikuwa [...]

Hizi Ndizo Hasara Ulizozipata Kwa Kuwahukumu Watu Bila Kujua UkweliHizi Ndizo Hasara Ulizozipata Kwa Kuwahukumu Watu Bila Kujua Ukweli

Wakanye wanao! Una malezi mabaya! Haya yalikuwa ni maneno ya baadhi ya abiria waliokuwa wamepanda gari moja na baba aliyekuwa pamoja na watoto. Baba mmoja aliingia kwenye usafiri wa uma na watoto wawili na kukaa kwenye kiti. Wakati safari ikiendelea, watoto walikuwa wakipiga kelele huku wakirukaruka kutoka kiti kimoja kwenda [...]

Hii Ndiyo Siri Inayowatofautisha Waliofanikiwa Na Wasiofanikiwa, Itambue Na Kuitumia Leo.Hii Ndiyo Siri Inayowatofautisha Waliofanikiwa Na Wasiofanikiwa, Itambue Na Kuitumia Leo.

Licha ya watu wengi kuwa na hamu ya kupata mafanikio makubwa, lakini wanaofanikiwa ni wachache sana. Watu wachache tu ndiyo walioshikilia mafanikio makubwa ambayo dunia imeyapata mpaka sasa. Watu wasiofanikiwa wamekuwa wakiwaona watu waliofanikiwa kama ni watu wenye bahati ambayo wao hawana. Wengine wamekuwa wakiwaona kama hawa watu wana kitu [...]

Unaweza Kutengeneza Dunia Ya Kwako.Unaweza Kutengeneza Dunia Ya Kwako.

Unavyoiona dunia unaweza kushawishika kuwa kila mtu ndivyo aionavyo. Ukitazama dunia utaona ina mambo au vitu fulani ambavyo haviko sawa. Unaweza kuhitimisha kuwa ndivyo dunia ilivyo. Ukiangalia hali ya uchumi unaweza kufikri kabisa kuwa dunia haina usawa, kwa nini kuna watu matajiri sana wakati wengine ni masikini sana? Ukiangalia dunia [...]