
Maadui Ni Wengi Sana Mbele Ya Malengo Yako, Unahitaji Kitu Hiki Ili Kushinda ..Maadui Ni Wengi Sana Mbele Ya Malengo Yako, Unahitaji Kitu Hiki Ili Kushinda ..
Kama kuweka malengo bora tu ingekuwa ndiyo tiketi pekee ya kufanikiwa basi karibu kila mtu angekuwa amefanikiwa maishani mwake…. Lakini kuna vikwazo vingi sana vitaibuka mara tu utakapoanza ua kufikiria kuanza kutimiza malengo yako… Ni wachache tu hufanikiwa kupenya vikwazo hivyo kisha kufanikiwa kutimiza malengo yao… Watu hawa huwa na [...]