Category: USTAHIMILIVU

Itatokeo Na Kwako Lakini Inahitaji Hiki Kutoka Kwako……Itatokeo Na Kwako Lakini Inahitaji Hiki Kutoka Kwako……

Licha ya hamu kubwa ya kupata mtoto anayoweza kuwa nayo mama majamzito, lakini hulazimika kusubiri takribani miezi tisa ili hamu yake kutimizwa. Muda wa mama kusubiri humpa nafasi kukua kiasi cha kuweza kuhimili mazingira pindi atakapotoa nje ya mwili wa mama yake. Licha ya mbegu ya muhindi kuwa na uwezo [...]

Dawa Ya Tano Ya Kutibu Ugonjwa Wako Wa Kushindwa.Dawa Ya Tano Ya Kutibu Ugonjwa Wako Wa Kushindwa.

Lazima upone tu ! Hiki ndicho kinachokwenda kutokea kwenye maisha yako kama kweli utakubali kunywa dawa hizi kwa ajili ya ugonjwa wako wa kushindwa. Mpaka sasa umeshapokea dawa nne kwa ajili ya ugonjwa wako wa kushindwa; kutibu mtazamo wako, kuishi kwa malengo, kupenda kazi na nidhamu. Hizi ni dawa ambazo [...]

Dawa Ya Tatu Ya Kutibu Ugonjwa Wako Wa Kushindwa.Dawa Ya Tatu Ya Kutibu Ugonjwa Wako Wa Kushindwa.

Kama ulihudhulia kliniki ya makala mbili zilizopita, mpaka sasa utakuwa umepokea dawa mbili za ugonjwa wako wa kushindwa. Dawa ya kwanza ilikuwa ni ya kubadili mtazamo na ya pili ilikuwa ni ya kuweka malengo. Kama hukupata bahati ya dawa hizo mbili za kwanza, unaweza kujipatia bure kabisa kwa kubonyeza kiunganishi [...]

Hii Ndiyo Njia Pekee Ya Kufaidi Maumivu Unayoyapitia.Hii Ndiyo Njia Pekee Ya Kufaidi Maumivu Unayoyapitia.

“Licha ya mzizi wa mti kubanwa na mawe, huacha kusikilizia maumivu na badala yake huhangaika na kupenya kwenye mawe hayo ili kukua kuyafikia maji na chakula” Kuna kitu kimoja ambacho ni cha uhakika ukiwepo hapa duniani, nacho ni maumivu. Duniani kuna miba, milima, mabonde, jua, mvua ambavyo utakutananavyo kwenye safari [...]

Haya Ndiyo Maumivu Yenye Faida Ya Kuyapokea.Haya Ndiyo Maumivu Yenye Faida Ya Kuyapokea.

“Maumivu ya magurudumu ya gari hufanya gari lisogee. Maumivu ya kuni huivisha chakula. Kadhalika maumivu ya nyundo hutengeneza samani” Magurudumu ya magari ndiyo yanayogusana na ardhi na kisha kupata msuguano na barabara pale yanapozunguka. Maumivu hayo ya magurudumu ndiyo yanayowezesha gari kusogea na kufika safari yake. Ili kuni ziweze kuivisha [...]

Mafanikio Yako Yanaanza Leo.Mafanikio Yako Yanaanza Leo.

“Safari yako ya miaka mia moja inaanza na leo” Una ndoto kubwa ambazo unatamani uzifikie kwenye maisha yako. Yamakini ili kutimiza hizo ndoto hizo tayari umeshaweka malengo ya kuyatimiza kwa kipindi fulani. Watu wengi pia wamekuwa wakiweka malengo kama wewe, lakini ni asilimia ndogo sana ya watu waliofanikiwa kuzifikia ndoto [...]

Huyu Ndiye Mwalimu Mzuri Wa Maisha Yako.Huyu Ndiye Mwalimu Mzuri Wa Maisha Yako.

“Mtu aliyekanyaga mwiba hutoa mguu wake kwa haraka ili kuweza kuokoka na maumivu yanayomkabili”Watu wamekuwa hawapendi kusikia au kupata maumivu katika maisha yao. Wamekuwa wakifanya kila namna kuhakikisha wanayakwepa maumivu hayo. Kwa sababu ya maumivu watu wameogopa kutoka nje na kutembea wakitafuta kwa sababu ya kuogopa kukanyaga miiba yenye maumivu. [...]

Hii Ndiyo Njia Pekee Ya Kuwa Tayari Kupita Kwenye Moto.Hii Ndiyo Njia Pekee Ya Kuwa Tayari Kupita Kwenye Moto.

Mama ambaye mwanae yupo chumbani kwenye nyumba inayoungua moto ana ujasiri wa kujaribu kuingia kwenye chumba hicho ili amuokoe mwanae. Mtu anayeumwa huwa radhi kuvumilia maumivu makali ya sindano ili apate kupona. Au hata ikitakiwa kukata mwili au kiungo ili aweze kupona, hatua hiyo hufanyika ili kuokoa maisha yake. Ujasiri [...]

Usikubali Kwenda Na Mafuriko….Usikubali Kwenda Na Mafuriko….

Mafuriko yakipita sehemu kuna uwezekano wa kuleta madhara. Madhara yatokanayo na mafuriko ni kama uharibifu wa miundombinu, vifo, upotevu wa mali nk. Matamanio ya watu wengi ni kuona mafuriko yanayopita hayaleti madhara yoyote kwenye maeneo yalikopita. Hii itakuwa salama kwenye maeneo yalikopita. Mafuriko pia hutokea kwa watu, hizi ni changamoto [...]

Utapata Unachokitaka Kuanzia Sasa.Utapata Unachokitaka Kuanzia Sasa.

Ni muda umepita tangu umezaliwa, ni muda mrefu tangu umehitimu masomo yako, ni muda mrefu tangu umeondokewa na wategemezi wako, ni muda mrefu umepita tangu umeanzisha biashara lakini hujaanza kupata faida; hali hizi zimekufanya ujisikie kama umefika mwisho kwani huoni nini ufanye ili usonge mbele. Sasa nifanye nini? Ninaanzia wapi? [...]