Siri Ya Kuacha Kujidharau Kisha Kuanza Kufanya Makubwa…..Siri Ya Kuacha Kujidharau Kisha Kuanza Kufanya Makubwa…..
Kuna watu zaidi ya bilioni nane duniani lakini kuna WEWE mmoja tu. Kuna mtu kafanana sasa na wewe kwa nje lakini WEWE wa ndani yako hafanani na yoyote. Unaweza kukimbia vitu vyote lakini sio kivuli chako. Wanaweza kuona vyote vilivyo nje yako lakini siyo kile unachokiumba ndani yako. Watu wanaweza [...]