KITABU; AMSHA UWEZO WAKO HALISI.

AMSHA UWEZZO WAKO ‘’Tambua Na Tumia Nguvu Kubwa Iliyolala Ndani Yako Kufanya Makubwa Zaidi’’ Hiki ni kitabu kinachoainisha uwezo mkubwa ambao kila binadamu ameumbwa nao. Lakini ni kiasi kidogo sana ambacho mwanadamu amefanikiwa kukitumia na hivyo kufa akiwa na hazina hiyo kubwa ndani yake angali hajaitumia. Hivyo kitabu hiki kimeainisha uwezo huo na kuja na mbinu ambazo zitamsaidia mtu kuamsha uwezo huo na kupata matokeo makubwa ambayo yataonekana kama miujiza.

Miongoni mwa mbinu hizo ni

  1. Kutambua nguvu ya ubongo na kuitumia
  2. Kutambua kusudi lake na kuliishi kikamilifu
  3. Kuwa na ndoto kubwa ambayo itasaidia kuamsha uwezo halisi