Pata zawadi ya mwongozo utakaokuwezesha kuweka na kufikia malengo makubwa.
Je wajua kwamba watu wengi wamekuwa wanaweka malengo kila mwaka ila hawayafikii? Huenda wewe ni mmoja wa watu hao. Leo nakwenda kukupa zawadi ya Mwongozo wa Kuweka na Kutimiza Malengo yako ambao una hatua nne muhimu.
HATUA YA KWANZA: Sifa Tano Za Malengo Bora
Kwenye hatua hii muhimu utajifunza sifa tano muhimu ambazo malengo yanapaswa kuwa nazo ili yaweze kufikiwa.
HATUA YA PILI: Kugawa Malengo Kwenye Vipande Vidogo
Kwenye hatua hii utajifunza jinsi ya kuyagawa malengo yako makubwa kwenye hatua ndogo ndogo unazoweza kufanyia kazi kila siku.
HATUA YA TATU: Kuyaishi Malengo Yako
Kwenye hatua hii utajifunza jinsi ya kuweza kuyaishi malengo yako kwenye kila siku yako, maana hiyo ndiyo njia ya kuyafikia.
HATUA YA NNE: Kujifanyia Tathmini
Kuweka tu malengo na kuyafanyia kazi siyo uhakika wa kuyafikia.
Unapaswa kujifanyia tathmini ili kuwa bora zaidi.
Kwenye hatua hii utajifunza jinsi ya kujifanyia tathmini kwenye malengo yako.
Kupata Mwongozo huu wa kuweka na kutimiza malengo, jaza fomu hiyo hapo chini na utatumiwa moja kwa moja kwenye email yako.